Wacha wanaume wa dar wakimbie ili wengine tunehemeke na tanga yetu[emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona vile.
Haya zidi kupata raha Swahiba maana ndio Slogan yetu hiyo siku zote. "Tanga raha"
😂😂😂 nimecheka sana Swahiba.Wacha wanaume wa dar wakimbie ili wengine tunehemeke na tanga yetu
Atakuwa ni mwanaume wa dar tu huyu swahiba[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana Swahiba.
Mkuu katoa la moyoni nyie mnamuita mwanaume wa Dar. Ndio alipoweza kujikuna hapo. Teh teh teh.
Mimi mzima kabisa ...Hahaaa. Tupo Kaka.
ukhuty, beingsingle na Da Madame B wote Tanga moja hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzima lakini Kaka?
😂😂😂 Kama ni kweli Swahiba pole kwake.Atakuwa ni mwanaume wa dar tu huyu swahiba
Hongereni sana wanawake wa Tanga kwa kula vyakula vya asiliHahaaa. Tupo Kaka.
ukhuty, beingsingle na Da Madame B wote Tanga moja hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzima lakini Kaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe kuna siku siku niliulizwa mbona umechukua pakt moja?
Sasa mbn wanasema mapenzi yameanzia tanga? Jikaze tu mzee babaNipo zangu mkoani Tanga hapa kikazi, na ni wiki ya pili. Katika kuzunguka zunguka nikakutana na mtoto mashallah, mtoto jojo, mtoto chura, mtoto ina mpaka machoni.
Tukaanza mazoea kidogo kidogo, mpaka tuka exchange mawasiliano. basi nikampanga tukutane somewhere. Siku ya siku akasema anakuja basi nikalipia chumba lodge moja hivi karibu na stendi ya basi za mkoani.
Nikampokea, moja kwa moja mpaka room, kufika tu tukaanza mambo mambo, mtoto akalegea, kazi ikaanza ya to and flo motion, mtoto kiuno kama feni na sauti tamu. Raundi ya kwanza ikaisha mtoto bado anahitaji, nikajikaza raundi ya pili mtoto bado, raundi ya tatu mtoto bado anahitaji. Ikabidi nimtoroke kwa kisingizio cha kufata helmet nyingine, na kuanzia hapo sikumtafuta tena, mapenzi siyo vita wadada. Muwe mnatuonea huruma basi, twatumia damu.
Tenaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mara ya kwanza namuona jogoo anakimbia mtetea hii ni aibu.
Ahsante Rafiki Mtani ndio kawaida yetu hiyo.Hongereni sana wanawake wa Tanga kwa kula vyakula vya asili
Hahahaaa...Tenaaaa
Chezea Tanga wewe.
Tumefundwa, tukafundika.
Tumekoshewa majimbo yote ya Tanga na vitongoji vyake.
Tumekogeshewa ndani ya vyungu vya zamani na kupakwa uturi wa zambiani.
Tanga hiyooooo.
Kuna kibao cha karibu Tanga, cha kwaheri hutokiona.
Waambie haooooo
Nipo rafiki sema tunapishana humuhumuAhsante Rafiki Mtani ndio kawaida yetu hiyo.
Hivi upo lakini?
Ewaaaaaa. Hapo Dada umemaliza kila kitu.Tenaaaa
Chezea Tanga wewe.
Tumefundwa, tukafundika.
Tumekoshewa majimbo yote ya Tanga na vitongoji vyake.
Tumekogeshewa ndani ya vyungu vya zamani na kupakwa uturi wa zambiani.
Tanga hiyooooo.
Kuna kibao cha karibu Tanga, cha kwaheri hutokiona.
Waambie haooooo
😂😂😂😂😂Hahahaaa...
Nilijua mtakuja tuu kwenye huu uzi .[emoji28][emoji28]
Daaah. Haya bana ila kikubwa uzima kwa kuwa tunao basi tumshukuru Mwenyezi Mungu.Nipo rafiki sema tunapishana humuhumu
Kuna chakula chao kimoja kinaitwa mseto ni mchanganyiko wa choroko na mchele aisee ni nomaHongereni sana wanawake wa Tanga kwa kula vyakula vya asili