Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Naangalia tu sifa mnazomwagiwa wanawake wa Tanga, mimi niko pembeni na glasi yangu ya mvinyo natia tiki maana sifa zooote mlizopambwa nazo ni za kweli kabisaaa wala hazijaongezwa chumvi

Mpo vizuri kwa kila sekta hasa kwenye mapishi na 6*6 hamna mpinzani ujue Hajar
Hahahaaa. Umeonaeee.

Hakika hawakukosea waliosema Tanga raha.
 
Hahahaaa. Umeonaeee.

Hakika hawakukosea waliosema Tanga raha.
Hapa nakwambia mzuka wa safari ya Tanga ushanipanda Hajar

Nianzie Muheza,Lusanga na Bonde,kwenye vijiji vya Dirima na Kidutani wakati huo nitakua nimeshapita Chanika na Kidereko kule Handeni

Nikifika Segera niende Korogwe na Mombo yake

Nifike Tanga mjini nione vitongoji vyake vyote hasa Makorora wanapodeka, kisha niondoke nielekee Zingibari na Mchapeni

Lakini raha yangu haswaa nitaipata Horohorooo, na Kidigo nifundishwe hadi nikijue 😛😛😛😉😉😉
 
Hahahaaaa. Hahahahahaahaaaaaa. Hahahaaaaaaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uuwiiiiiii.

Ngoja nikakimalizie kucheko changu Dada kisha narudi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikusaidie kucheka
 
Naangalia tu sifa mnazomwagiwa wanawake wa Tanga, mimi niko pembeni na glasi yangu ya mvinyo natia tiki maana sifa zooote mlizopambwa nazo ni za kweli kabisaaa wala hazijaongezwa chumvi

Mpo vizuri kwa kila sekta hasa kwenye mapishi na 6*6 hamna mpinzani ujue Hajar
Nakumbuka kwa bibi kuna kisima cha maziwa.
Mkienda kutoa mahari, mwadumbukizwa mwaogeshwa wote na mkeo mtarajiwa ndani ya maji ya maziwa.
'Mwatakaswa'
Karibu Tanga...ule mapeasi na ngogwe
 
Back
Top Bottom