Uchaguzi 2020 Sitaki kuwa mnafiki. WanaCCM awamu hii tunaburuzwa na Mwenyekiti

Bavicha at work
 
Umesahau ni hii, au ndio unadamka kutoka usingizini?
 
It's true

Hata Nyerere enzi zake wakati wa mfumo wa chama kimoja, alikuwa akipata kura zinazo-range kwenye asilimia 92-96

Haikuwahi tokea Nyerere akapata asilimia 100
Pigeni kelele zot
It's true

Hata Nyerere enzi zake wakati wa mfumo wa chama kimoja, alikuwa akipata kura zinazo-range kwenye asilimia 92-96

Haikuwahi tokea Nyerere akapata asilimia 100
Pigeni kelele zote za kipuuzi na uongo usio na mbele wala nyuma. Octoba inafika mnapigwa mbele na nyuma.
 
Kama unaona unapelekwa pelekwa mkuu ungejiondoa tu kwenye hicho chama
 
Mambo mengine hubaki kuwa siri mpaka miaka ipite ila kukutoa tongotongo ccm ni mfano wa mume alie kasimisha madaraka yote kwa mke ila maelekezo yanatoka kwa mume. Teguwa uteguliwe
 
Mambo mengine hubaki kuwa siri mpaka miaka ipite ila kukutoa tongotongo ccm ni mfano wa mume alie kasimisha madaraka yote kwa mke ila maelekezo yanatoka kwa mume. Teguwa uteguliwe
Duuh! Hakika wanaccm tumepatwa. Nimekerwa Sana na mfumo wa kukatazwa kugombea kwenye majimbo ya wapinzani waliorejea ccm. Na kuletewa wagombea ktk baadhi ya majimbo
 
Aiseee!
 
Siku alipo punguza wajumbe ndio mwanzo wa huu udikteta..
Magu kawatangulia kawafunga magoli kwenye mchezo CCM inaoujua .Nilimsikia Raisi wa Zanzibar hotuba yake kabla ya NEC kupiga kura.
Hotuba yake ni kinyume cha Magufuli kabisa.
 
Tuwe wakweli jaman 2020 upinzani ni nani wa kupambana na Magufuli?kwa mikakati ipi na kwa sera zipi muhimu wapinzani wajikite kwenye ubunge na udiwani tu
 
Wanalizika na 7000 za maji na soda, vitenge. Hawawezi amka Hawa. Ataukiwavuta masikio na kuwapanda kama Punda.
 
Chama kinajinasibu kuwa na Demokrasia kubwa Sana katika uteuzi na uendeshaji wa chama. Iweje Tena malalamiko hayo kwa Sasa, wakati mgombea wenu ameshinda kwa Asilimia 100??
 
Kwani mtashinda? Hata ukiuliza mtoto mdogo atasema mtashindwa, kama unabisha - muulize mwanao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…