Bavicha at workAnachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Umesahau ni hii, au ndio unadamka kutoka usingizini?Anachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Mtakumbuka sasa maneno ya Lussu...Alipowabinya wapinzani tuliona raha tukizani sisi WanaCCM tutakula kuku kwa mrija, lkn kumbe muda wetu wa kulia ulikuwa bado haujafika. Hakika Sasa tunajuta.
It's trueNyerere hakuwahi kupata 100%
Pigeni kelele zotIt's true
Hata Nyerere enzi zake wakati wa mfumo wa chama kimoja, alikuwa akipata kura zinazo-range kwenye asilimia 92-96
Haikuwahi tokea Nyerere akapata asilimia 100
Pigeni kelele zote za kipuuzi na uongo usio na mbele wala nyuma. Octoba inafika mnapigwa mbele na nyuma.It's true
Hata Nyerere enzi zake wakati wa mfumo wa chama kimoja, alikuwa akipata kura zinazo-range kwenye asilimia 92-96
Haikuwahi tokea Nyerere akapata asilimia 100
Kama unaona unapelekwa pelekwa mkuu ungejiondoa tu kwenye hicho chamaAnachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Mambo mengine hubaki kuwa siri mpaka miaka ipite ila kukutoa tongotongo ccm ni mfano wa mume alie kasimisha madaraka yote kwa mke ila maelekezo yanatoka kwa mume. Teguwa uteguliweAnachokitaka ndicho huwa. Na anafanya mambo kwa manufaa yake ya kisiasa. Kwanini nasema haya??
1. Angalia namna mchakato wa uchukuaji fomu za kugombea urais wa JMT ulivyokuwa na figisu. Eti wanaCCM wengine hawaruhusiwi kuchukua fomu. Ni yeye tu.
2. Angalia chaguzi za marudio ktk majimbo ambayo wabunge wapinzani "waliunga mkono juhudi". WanaCCM tulinyimwa kushindana nao. Na hata ktk uchaguzi huu tumepigwa marufuku kushindana nao.
3. Angalia upigaji kura ktk mkutano mkuu, ukusanyaji wa kura ulikuwa wa kimikoa (hii mbinu imewekwa ili iwe rahisi kutufuatilia wale ambao tungepiga kura ya hapana).
4. Kwa kinywa chake mwenyewe amesema kura za maoni za watia nia wa ubunge hazina maaana. Yeye amesema anaweza kumchukuwa hata mtu wa mwisho. Yaani badala ya wagombea kutafuta ridhaa ya wananchi, Sasa wanasubiri maamuzi binafsi ya mwenyekiti.
Demokrasia imezikwa rasmi ndani ya CCM. WanaCCM tunapelekwa pelekwa tu.
Kujiondoa ccm kwa nafasi yangu ndani ya ccm haiwezekani, iliwezekana wakati wa Jakaya. Lkn enzi hii naweza nikapoteza kila kitu changu na kupewa kesi ya uhujumu uchumi.Kama unaona unapelekwa pelekwa mkuu ungejiondoa tu kwenye hicho chama
Duuh! Hakika wanaccm tumepatwa. Nimekerwa Sana na mfumo wa kukatazwa kugombea kwenye majimbo ya wapinzani waliorejea ccm. Na kuletewa wagombea ktk baadhi ya majimboMambo mengine hubaki kuwa siri mpaka miaka ipite ila kukutoa tongotongo ccm ni mfano wa mume alie kasimisha madaraka yote kwa mke ila maelekezo yanatoka kwa mume. Teguwa uteguliwe
Aise, hii sasa komeshaUmesahau ni hii, au ndio unadamka kutoka usingizini? View attachment 1503839
Aiseee!NDIO, ni kweli.
Ukiweka kura ya HAPANA kwenye sanduku la CCM MOROGORO watapeleka fomu ile kwa RPC wa Morogoro au RSO wa Morogoro kufanyiwa dusting for fingerprints, halafu anapewa kachero aliyeko NIDA au TCRA au Tume ya Uchaguzi au VODACOM anaambiwa pitia fingerprints zote za wana CCM wa MOROGORO uimachi na hii fingerprint au palm prints.
Kumbuka taasisi zote hizo zinazo fingerprints zetu, na kote humo Usalama wapo kisheria, na mashine za ku match fingerprints wanazo!
Very very very simple to figure you out!
Magu kawatangulia kawafunga magoli kwenye mchezo CCM inaoujua .Nilimsikia Raisi wa Zanzibar hotuba yake kabla ya NEC kupiga kura.Siku alipo punguza wajumbe ndio mwanzo wa huu udikteta..
Au wewe ndo uliyekuwa unalia mkuu?Niko ukumbini ndiyo tunatoka sasa
Tuwe wakweli jaman 2020 upinzani ni nani wa kupambana na Magufuli?kwa mikakati ipi na kwa sera zipi muhimu wapinzani wajikite kwenye ubunge na udiwani tuNa ile kauli yake ya kuwaambia Wapinzani hawatashinda uchaguzi wa mwaka huu nayo ina ukakasi na inatukatisha tamaa wapenda mabadiliko.
Mzee huwa anaongea tu kila kinachomjia mdomoni mwake. Hana utaratibu wa kuchuja kwanza ili kuondoa mkanganyiko usio na tija.
Tunasubiri mpasukoAsante. Na wengi hawajafurahishwa hasa kwa hoja namba 2 na 4 zitakiacha chama ktk hali mbaya Sana. Watu tuko pamoja ktk chama lkn hatuna umoja. Muda utasema
Kwani mtashinda? Hata ukiuliza mtoto mdogo atasema mtashindwa, kama unabisha - muulize mwanao!Na ile kauli yake ya kuwaambia Wapinzani hawatashinda uchaguzi wa mwaka huu nayo ina ukakasi na inatukatisha tamaa wapenda mabadiliko.
Mzee huwa anaongea tu kila kinachomjia mdomoni mwake. Hana utaratibu wa kuchuja kwanza ili kuondoa mkanganyiko usio na tija.
Kwani mtashinda? Hata ukiuliza mtoto mdogo atasema mtashindwa, kama unabisha - muulize mwanao!