Sitaki kuolewa

Mhh tuache kufakee...kuchelewa Kuolewa ni stress sanaa yaani..aisee kama unakua na mchumba ni vizuri kuolewa kabla umri hujakutupa mkono...! Mwishoe ndo utaanza kusema sizitaki mbichi hizii!
 
ya kwanza ulikosea !
kama ambavyo mimi na bossman tulikosea!
hii uliyoitaftia kiambatishi sicho ulichoandika mwanzo.
rudia ulipomquote the boss.
kama bado hujaedit .lol

Imekuja na meli hii lol
 
Husninyo meona eeehhhh kuna wanaume watamu kama chakula jamani..yani ukikaa nae moyoni unapractice siku akikwambia wil u marry mi utavyo data..ila ndio mabandiduuuu wakijua umefika
 
wallah mekupenda bureeee drama queen.
 
Husninyo meona eeehhhh kuna wanaume watamu kama chakula jamani..yani ukikaa nae moyoni unapractice siku akikwambia wil u marry mi utavyo data..ila ndio mabandiduuuu wakijua umefika

kabisaaaa! yaani kutaman au kutotaman kuolewa chanzo ni mwanaume! unakuwa na mwanaume ile milove na micare mpaka mwenyewe unadata unataman uitwe mrs flani fasta.
ila ndo vile tena, sometimes mtu anadate mume wa mtu. unafkr huyo hamu ya kuolewa ataitoa wapi!!! wanaume hebu tuoeni bana acheni ujeuri.
 
Hutaki Kuolewa Tu Cos Ndoa Haina Maana?,Hujapata Mr RIGHT ? Watoto Unataka,Kivipi? Rapunzel Jibu Maswali Haya Nakuja
 
Last edited by a moderator:

hta mmi wananiulza naoalin wadgozangu wte wameoa , naona sie tnaendana
 
’m in love with you, and I’m not in the business of denying myself the simple pleasure of saying true things. I’m in love with you, and I know that love is just a shout into the void, and that oblivion is inevitable, and that we’re all doomed and that there will come a day when all our labor has been returned to dust, and I know the sun will swallow the only earth we’ll ever have.....Nakupenda sana my msweet
 
Mhh tuache kufakee...kuchelewa Kuolewa ni stress sanaa yaani..aisee kama unakua na mchumba ni vizuri kuolewa kabla umri hujakutupa mkono...! Mwishoe ndo utaanza kusema sizitaki mbichi hizii!

She is not fake ila ana msimamo wa kike
 
mmmmh.........
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…