Sitaki kuolewa

Ndo hivo ukipambana na vipoozeo vya modes ndo matokeo yake!

hahahahaaaaaaa
....!unankosha mie!wanapatikana wapi na mi nipate mmoko ili wasinisuspend au nkizinguliwa nishtaki fasta!
 

Teh teh teh teh mambo ya kuwa TrippleIDs afu unasahau kuLog out ndio haya,,,,kwanini usiwe na moja tu kama mimi?

Waswahili wanasema ukiwa MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Uamuzi bora sana, waeleze na hao mamazako wasiwe wakikusumbua sumbua kukuuliza swali kama hilo tena.
 
haya dada endekeza zinaa tu ila malipo utayaona tu
 

Hata ukichagua saaaana na kupata ambaye utaridhika naye kwa vigezo vyako, haimaanishi kuwa ndiyo utakuwa na furaha katika maisha yako yote ya ndoa.

Isitoshe vigezo ulivyoviweka, utavi-modify soon...
 

nimekusikia mama najuuuta kumsifia huyu mama wa magumashi.

siku nyingine nifinye tu chumbani tuyamalize wenyewe. am deeply sorry.
 
Hilo Swali Pia Naulizwa Sana,
Mie Nabaki Nawashangaa Tu,
 
Ha ha ha daaah nmecheka aiseee

Hii mobile application si nzuri kika mkiniquote na kunitaja inakuwa notification,.
Nkiingia nakutana na you have been banned from this forum.
 
Hii mobile application si nzuri kika mkiniquote na kunitaja inakuwa notification,.
Nkiingia nakutana na you have been banned from this forum.

Ila umewafumbua watu macho ingawa mtanange sikuuona.Nadhani washiriki karibia wote mpo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…