Sitaki kuolewa

Alikaimu wizara yako ya kufukunyua post za nyuma! Japo zimefutwa natamani uziweke tena maana ni za kuchekesha! Rest in Ban amu!

ila yule dada amu hana kosa jamank afu hata hakutaka ugomvi ghafla akatajwa kwa jina halisi mi hoi sikulala jana mpaka mtanange umeisha...
 
Last edited by a moderator:
nimejaribu kutafuta huo ugomvi toka page 1 mpaka mwisho hata siuoni,inaonekana wana mmu wamezoea maneno laini laini sana.
 
masikini Rapunzel!!!!!!!!!! u hali gani mida hii???????
 
Alikaimu wizara yako ya kufukunyua post za nyuma! Japo zimefutwa natamani uziweke tena maana ni za kuchekesha! Rest in Ban amu!

mie zile ninazo long time... zipo kwenye files zangu bado.. nikuziweka hapa naweza kumfata amu huko aliko.
 
Last edited by a moderator:
nimejaribu kutafuta huo ugomvi toka page 1 mpaka mwisho hata siuoni,inaonekana wana mmu wamezoea maneno laini laini sana.

post za ugomvi zimefutwa utazitafuta hadi kesho kutwa huzioni.page by page huoni kitu.
 
Seven foolish reasons of marrying!

1. You are desperate,
2. Vengeance, may be to your ex-
3. Vogue - popular, every body gets married,
4. You are forced by pregnancy,
5. You're hiding your true colour. E.g. A male who is eunuch wants to marry from a family or societal pressure,
6. You're only attracted by physical appearance,
7. You're tired of mom & dad, so you want to get rid of home environment.

Marriage is about sacrificial love & commitment! Don't dream to find a perfect mate while you're not mr. or ms perfect!
 

Sidhan ka wewe ndo unayekataa kuolewa, bali wakishachapa wanalala mbele, bado hujajua tatizo lako tu.

Nachojua mimi akitokea mwanaume zezeta, mwenye hele zake, kila kitu kwake ni yes yes, utakubali kuolewa tu ili utoe nuksi.
 

hapo na saba tired of dad and mom wao bila kia pamoja wangekupata au ndo walipeana mimba mitaani?acheni u selfish bwana ingekua si lazma kuishi pamoja hao wazazi tungewatoa wapi...!
 
halafu mtu anadanganya JF! kaah

Inaonesha hizi story nyingi za huyu Dada huwa anajitungia tu na kuzileta hapa.
Mimi nitaendelea kuwa mtoa comment na msomaji pale pasipo na umuhimu wa kukomenti.
Sitaweka uzi hapa hadi pawe na umuhimu sana na huo uzi hautahusisha maisha yangu wala ya ndugu, nikiweka nimeweka taarifa tu
 
Duh kumbe kuna habari zimefutwa hapa eeeeh, jamani mwenye nazo azirudishe basi.
Kumbe ilikuwa hot sana hiyo jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…