Sitaki kuidhulumu nchi yangu, kamwe sitojiunga na CHADEMA chini ya uongozi huu

Cha kushangaza Gazeti tukufu la Chadema, Tanzania Daima linanatetea mafisadi wa CCM
 
HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU

raisi yupi huyu huyu fisadi au tumtarajie mwingine
 
HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichuki

Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.

Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU
Msimamo wakoni vizuri ukamwambia mkeo au demu au wazazi wako mkiwa faragha,huku JF kila mmoja na siri zake moyoni.Unatangaza ili iweje?kuichafua Chadema?,kuwashawishi wengine?Acha hizo mtoto wa kiume kuchongachonga bila mpango sio vizuri maana hapa umeandika mipasho tu na haina maaana
 
Anzisha chama chako.

huku mwanakijiji,kubenea na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la chama cha cdm kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? Lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. Msimamo huu unanifanya nikichukie chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina el,ra na wengine ambao tayari cdm wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa cdm kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. Sina haja ya kujiuna na cdm hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu zito.
Sitojiunga na chadema na kuingamiza nchi yangu
 
Mimi niko tayari kujiunga ili mradi tu Zitto Na Mbowe wanaondolewa ( jivueni gamba CDM) Mbowe uwezo umefika mwisho,Zitto hana msimamo ni hatari kwa mustakabili wa chochote anachokisimamia.
HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU
 
Mimi niko tayari kujiunga ili mradi tu Zitto Na Mbowe wanaondolewa ( jivueni gamba CDM) Mbowe uwezo umefika mwisho,Zitto hana msimamo ni hatari kwa mustakabili wa chochote anachokisimamia.

MIE NAOGOPA HII CDM KINA MADARAJA YA UANACHAMA KULINGANA NA UKANDA; ILI IUTHAMINIWE NI LAZIMA UTOKEE KANDA ILE PALE:A S cry::A S cry:
 
Gazeti lipi hilo la CDM?weka kumbukumbu sawa mzee, Kiongozi gani wa CDM kawatetea mafisadi?nani kawalipua mafisadi TZ?nani aliyeendelea kuwataja mafisadi hata pale CCM ilipodhibitisha hawana mafisadi na chaguzi ya mwaka jana Kikwete akawanadi watuhumiwa wa ufisadi na kusema ni watu safi!! hebu tuweke kumbukumbu sawa jamani
 
Kuzulumu ndiyo kitu gani? Sidhani kama tuna kijiji cha ujamaa kiitwacho Zulumu nchini Tanganyika.
 
HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU

Kumbe na wewe ni mtu muhimu eeh? Usipojiunga na cdm itatokea tsunami au?
 
Unao ushahidi kuwa Tanzania Daima ni gazeti la Chadema?tuthibitishie tafadhali

Siku Dk Slaa akileta ushahidi wa Ridhwan Kikwete kuwa bilionea na mimi taleta wangu siku hiyo hiyo
 
HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU

Kumbuka hawa wote ni wabunge wa CCM, tena mmoja amechaguliwa na wabunge wa ccm kuwa mwenyekiti wa kamati nyeti ya bunge. Nani anawabeba hapa .....
 
Better ukaikimbia ccm kabla mlango haujafungwa, ukifungwa utajutia mawazo yako hayo yasiyo na mashiko!
 
hii ni hatari ikiwa kibanda anatumia kalamu yake vibaya huku cdm ya mbowe ikikenga meno na kucheklea, sitaki kuona tz ikikkupmbwa na vita kwa sababu ya wachache

Mzee wa hoja au kiroja. Acha woga wewe mtoto wa kiume pia kajifunze kuandika then ndiyo uje kuchangia hapa.
 
HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU

Hatukuhitaji wala ha2hitaji m2 wa aina yako... plz kama upo sepa fasta... go 2 hell..
 
Kama CDM inatetea watu hatari kwa nchi kama EL,AC na RA kwanini sasa chama chako cha ccm kimekumbatia watu hatari kwa nchi ambao ni wezi wa rasilimali za nchi?

umenena vyema mwanamena,huyu bwana asitafute sababu tu za hapa na pale yeye siku akiijua kweli basi na tunamkaribisha CDM japo huku hatusombi watu kwa magari na wala hatugawi unga,t-shirts wala mchele...CDM ni kwa wazalendo tu
 
Back
Top Bottom