Unawachukuliaje wanawake mpuuzi mkubwa,, mwanamke ndo amekuzaa wewe leo unakuja kuleta kejeli zako hapa juu ya wanawake..unaangalia tumbo lako mpaka unasahau hata usataarabu juu ya wanawake amabao ndiyo chanzo Cha vizazi vyote...mama yako angebana mapaja wakati unazaliwa si ungekufa wewe ebu kuwa mstaarabu bwana siasa zisikufanye usahau utu....Endelea kutokumini hivyo hivyo maana. CHADEMA inonekana wametengeneza movie tu hawa wanawake.
Just relax, calm down dada yangu. I take full responsibility for what happened since sikuwa na maana hiyo but nimechanganya post. Please accept my apology sister.Unawachukuliaje wanawake mpuuzi mkubwa,, mwanamke ndo amekuzaa wewe leo unakuja kuleta kejeli zako hapa juu ya wanawake..unaangalia tumbo lako mpaka unasahau hata usataarabu juu ya wanawake amabao ndiyo chanzo Cha vizazi vyote...mama yako angebana mapaja wakati unazaliwa si ungekufa wewe ebu kuwa mstaarabu bwana siasa zisikufanye usahau utu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Apology accepted Ila samahani sikujua Kama naongea nashoga mpigwa miti hapaJust relax, calm down dada yangu. I take full responsibility for what happened since sikuwa na maana hiyo but nimechanganya post. Please accept my apology sister.
Show some decency my beloved sister. No need of insults in here my sister. As I said, it was the slip of the pen but still you are acting in unacceptable manner.Apology accepted Ila samahani sikujua Kama naongea nashoga mpigwa miti hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anavuka mipaka. but still endelea kuwa mpole Mkuu...Show some decency my beloved sister. No need of insults in here my sister. As I said, it was the slip of the pen but still you are acting in unacceptable manner.
Mbona mwaka 2010 waliitisha mkutano kukanusha madai ya Slaa kwamba ''walichakachua kura" ?umeshawahi kusikia TISS inamsemaji Kama ilivyo kwa majeshi mengine?? Umeshawahi kujiuliza kwanini??
Ulishawahi kusikia mkurugenzi wa TISS kaitisha vyombo vya habari??
Unalolitamani HALIWEZEKANI.
Kama nitakuwa nakosea Wabobezi na Wajuvi zaidi mtanirejebisha na nitawashukuruni sana tu. Nijuavyo Mzukulu ni kwamba kama kuna Idara au Taasisi ambayo ipo nchini Tanzania na ina uwezo mkubwa mno wa Kunusa kila baya, kuliwahi na hata ikiwezekana kulikabili Kimedani kwa ama kushirikiana na Jeshi la Polisi au hata Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa Ustawi wa Amani na Usalama.
Kuna Matukio kadhaa ya Kusikitisha yanayojumuisha Utekaji, Kujeruhi na hata Kuuliwa kwa Watu, Wanasiasa ( hasa wa Upinzani ) na Wanaharakati kwa Kipindi hiki cha Miaka hii Minne Mitano ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Kuna minong'ono ya kila aina ama hapa Mtandaoni ( Mitandaoni ) na Mitaani inayoihusisha moja kwa moja Idara ya Usalama wa Taifa nchini ( TISS )
Mzukulu bado sijaiamini hiyo minong'ono kwakuwa bado sijathibitisha lakini kinachonipa Mashaka na taratibu nami kuanza Kushawishika kuwa huenda yasemwayo yana ukweli ndani yake ni Kitendo cha Wahusika Wakuu wa Usalama nchini Tanzania ( TISS ) kukaa kimya wakati wanajua kuwa Wanachafuliwa kutwa lakini pia Wao kama Idara Nyeti wana Dhamana ya Kuyadhibiti haraka.
Nadhani kama kuna Jukumu Kubwa alilonalo Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ( TISS ) nchini Bwana Diwani Athuman Msuya ni Kuwaaminisha na Kuwathibitishia Watanzania tena kwa Hoja thabiti na ikiwezekana hata Ushahidi wa Kitaaluma na Kimedani kuwa Idara yake haihusiki na hili Genge la Wahuni lililobatizwa Jina la Wasiojulikana.
Kuendelea kukaa Kwake kimya kama ambavyo Mtangulizi wake Bwana Modestus Kipilimba alikuwa ni kuendelea kuifanya Idara ya Usalama wa Taifa nchini siyo tu ichukiwe bali sasa izidi Kudharaulika na baadhi ya Wananchi ( japo siyo wote ) kitu ambacho Kiuweledi kina Athari kubwa ya Kiutendaji Kwao kwakuwa 100% ya Ufanisi wako Kijasusi unategea Wananchi Kiushirikiano wao.
Sasa ni wakati muafaka kabisa wa ama TISS kujitokeza na Kukemea hadi Kuwataja hao Wahuni Wapumbavu au inyamaze iendelee Kuhusishwa.
Akhsanteni.
Wenu Mtanzania Mwaminifu, Mzalendo na Mtiifu
Mzukulu a.k.a Brainy Chap.
Huyu nae anaingia ktk group la WASIO JULIKANA.Kama nitakuwa nakosea Wabobezi na Wajuvi zaidi mtanirejebisha na nitawashukuruni sana tu. Nijuavyo Mzukulu ni kwamba kama kuna Idara au Taasisi ambayo ipo nchini Tanzania na ina uwezo mkubwa mno wa Kunusa kila baya, kuliwahi na hata ikiwezekana kulikabili Kimedani kwa ama kushirikiana na Jeshi la Polisi au hata Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa Ustawi wa Amani na Usalama.