Sitaki kuamini kama kuna Makaburi ya halaiki

Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye makaburi ya pamoja kwa siri itakuwa one of the big Mistake ever committed. Watu wangerudishiwa miili ya ndugu zao hata kama ni mabaki ya mifupa waizike.

Huko poland mwaka 1941 kwenye kwenye mji wa vinista ,vikosi vya Nazi vya SS na Gestapo vilikuwa vinaua watu wenye asili ya kiyahudi ndani ya poland kisha na kuwazika kwenye mashamba ya vijijini huko ili kupoteza ushahidi. Lakini maafisa wa ngazi za juu wa Nazi walipofikishwa mahakama ya Nuremberg mwaka 1945 , hawakuamini kile walichokuwa wakikisikia kama ushahidi dhidi yao uliowatia hatiani na kunyongwa.

Hapo Gaza tu baada ya kichapo Heavy kutoka kwa Israel, ilibidi hamas waende Misri kukodi makatapila na ma escavetor nmk kwa ajili yq kwenda kutafuta na kufukua mabaki ya waisraeli waliokufa, wengine walikufa tokea 2014 la sivyo walipuliwe tena kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika juzi tu huku. Trump akishuhudia kama sehemu ya kusitishwa kwa vita.

Hii mifano natoa ni kukumbusha tu kuwa ni jinsi gani watu huthamini damu zao hata kama zimekwisha kufa miaka mia moja iliyopita. Roho za watu huwa kuna mida hugeuka Haunted spirit kama hazijazikwa au kupumzishwa inavyopaswa.

Msitengeneze visasi vya kudumu ambavyo hata mwisho wa dahari lazima vilipwe tu. Labda iwe ni Fantasy tu hizi au Vijidrama (in mama abdel fatah al sisi voice 😎)

Bila familia kupewa miili ya wapendwa wao wakaizike, sioni jinsi ambayo Serikali itazishinda tuhuma za aina hii.

Miili wameipeleka wapi? Kuna theories kadhaa zinazotembea sasa hivi: wameifukia kwenye mass graves, wameitupa baharini, wameichoma pale Twiga Cement au combination ya yote haya!
 
Nimekuja kugundua kuwa kupoteza miili ya binadamu ni kazi ngumu sana. Utachoma moto utashangaa meno yanabaki. Itabidi uwe na mashine ya kuyasaga!! Utahitaji mapipa na mapipa ya acid ili kuidissolve. Utazamisha baharini itaibuka na wavuvi wataivua. Utafanya kazi yako vizuri lakini utaacha alama za DNA. Ni kama huwa damu inalilia haki.
 
Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye makaburi ya pamoja kwa siri itakuwa one of the big Mistake ever committed. Watu wangerudishiwa miili ya ndugu zao hata kama ni mabaki ya mifupa waizike.

Huko poland mwaka 1941 kwenye kwenye mji wa vinista ,vikosi vya Nazi vya SS na Gestapo vilikuwa vinaua watu wenye asili ya kiyahudi ndani ya poland kisha na kuwazika kwenye mashamba ya vijijini huko ili kupoteza ushahidi. Lakini maafisa wa ngazi za juu wa Nazi walipofikishwa mahakama ya Nuremberg mwaka 1945 , hawakuamini kile walichokuwa wakikisikia kama ushahidi dhidi yao uliowatia hatiani na kunyongwa.

Hapo Gaza tu baada ya kichapo Heavy kutoka kwa Israel, ilibidi hamas waende Misri kukodi makatapila na ma escavetor nmk kwa ajili yq kwenda kutafuta na kufukua mabaki ya waisraeli waliokufa, wengine walikufa tokea 2014 la sivyo walipuliwe tena kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika juzi tu huku. Trump akishuhudia kama sehemu ya kusitishwa kwa vita.

Hii mifano natoa ni kukumbusha tu kuwa ni jinsi gani watu huthamini damu zao hata kama zimekwisha kufa miaka mia moja iliyopita. Roho za watu huwa kuna mida hugeuka Haunted spirit kama hazijazikwa au kupumzishwa inavyopaswa.

Msitengeneze visasi vya kudumu ambavyo hata mwisho wa dahari lazima vilipwe tu. Labda iwe ni Fantasy tu hizi au Vijidrama (in mama abdel fatah al sisi voice [emoji41])

Yatakuwepo mengi tu kumbuka hiyo ni Dar es Salaam tu, vipi Tunduma, Mwanza, Arusha na Mbeya ambapo hapajapewa attention kubwa na media?
Vipi kwenye hifadhi za wanyamapori? Mito yenye mamba wengi na hifadhi zenye fisi wengi kama Selous au Mikumi ? au makorongo marefu yasiyofikika kwa urahisi ?
 
Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye makaburi ya pamoja kwa siri itakuwa one of the big Mistake ever committed. Watu wangerudishiwa miili ya ndugu zao hata kama ni mabaki ya mifupa waizike.

Huko poland mwaka 1941 kwenye kwenye mji wa vinista ,vikosi vya Nazi vya SS na Gestapo vilikuwa vinaua watu wenye asili ya kiyahudi ndani ya poland kisha na kuwazika kwenye mashamba ya vijijini huko ili kupoteza ushahidi. Lakini maafisa wa ngazi za juu wa Nazi walipofikishwa mahakama ya Nuremberg mwaka 1945 , hawakuamini kile walichokuwa wakikisikia kama ushahidi dhidi yao uliowatia hatiani na kunyongwa.

Hapo Gaza tu baada ya kichapo Heavy kutoka kwa Israel, ilibidi hamas waende Misri kukodi makatapila na ma escavetor nmk kwa ajili yq kwenda kutafuta na kufukua mabaki ya waisraeli waliokufa, wengine walikufa tokea 2014 la sivyo walipuliwe tena kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika juzi tu huku. Trump akishuhudia kama sehemu ya kusitishwa kwa vita.

Hii mifano natoa ni kukumbusha tu kuwa ni jinsi gani watu huthamini damu zao hata kama zimekwisha kufa miaka mia moja iliyopita. Roho za watu huwa kuna mida hugeuka Haunted spirit kama hazijazikwa au kupumzishwa inavyopaswa.

Msitengeneze visasi vya kudumu ambavyo hata mwisho wa dahari lazima vilipwe tu. Labda iwe ni Fantasy tu hizi au Vijidrama (in mama abdel fatah al sisi voice 😎)

Hautaki kuamini au hauamini?

Yote kwa yote, ina maana hauamini kama watu waliuawa kiholela?

Tuanzie hapo kwanza!
 
Nimekuja kugundua kuwa kupoteza miili ya binadamu ni kazi ngumu sana. Utachoma moto utashangaa meno yanabaki. Itabidi uwe na mashine ya kuyasaga!! Utahitaji mapipa na mapipa ya acid ili kuidissolve. Utazamisha baharini itaibuka na wavuvi wataivua. Utafanya kazi yako vizuri lakini utaacha alama za DNA. Ni kama huwa damu inalilia haki.
Bado picha za satellite ziko nyuma Kama kivuli
 
Hautaki kuamini au hauamini?

Yote kwa yote, ina maana hauamini kama watu waliuawa kiholela?

Tuanzie hapo kwanza!
I know .. watu waliuliwa na mitutu ya bunduki ... Kinachonipa tafakuri ni je, waliwazika kwenye kaburi moja? Huu ni Uhalifu wa kivita na ubinadamu
 
Satellite zinawatazama
IMG-20251121-WA0037.jpg
 
Mi ninaamini ishu ya makaburi ya halaiki ndo inayoenda kuiangusha Serikali
Hata wawafukue wameshaoza utawahandle vipi from point A to B bila kuacha chembe ya ushahidi?
Ndio kiini cha uzi wangu huu.. Labda tu hii isiwe kweli tu yaani.
 
Huyo mwandishi kitu alichobugi ni picha za makaburi zina tofauti kubwa hususan ya majengo, ya Oct. 29 hakuna maghorofa mengi, halafu ya Nov.15 kuna maghorofa mengi. Hizo picha zimeonesha walakini ukiacha video ambazo wengi wanazo na hajafanya uchunguzi kujiridhisha
Hebu tuupe muda wakati.
 
Back
Top Bottom