Sitaki kuamini kama kuna Makaburi ya halaiki

Rudi shule
Nipo shule mkuu
PXL_20251120_114730167~3.jpg
 
Mimi pia nimejipa kazi kufatilia hizi soil disturbance ni kweli maeneo kadhaa yenye makabuli yana soil disturbance kubwa kati tarehe 29 na November
Umefuatilia yote?..weka picha,haiwezi kuwa 29 oct,yaani walizika saa ngapi hiyo 29th na palikua pamenuka?
 
Hili ni Sayansi..

Ukiwa na muda fatilia kitu kinaitwa NVDI au vegetation cover.

Satellite/camera zinavopiga picha Sehemu udongo na miti inayo akisi mwanga ni tofauti au pia udongo ukikauka au ukigeuzwa unakuwa una reflections value tofauti na awali, kwa hiyo ukiona tofauti za aina hiyo unakuwa na points of interest kadhaa
 
Najua,mimi nimeomba picha ziwekwe
 
Back
Top Bottom