Sitaki kuajiriwa nakomaa na ubeach boy

Sitaki kuajiriwa nakomaa na ubeach boy

Njoo Zanzibar uone watu wanavyojua kumwaga Hela.....

Mtaji ni mdomo wako na how smart you are.
Yani wazungu bana....kutembea nae beach nusu saa anakupa 50 usd.....

Hahaha sifungui hata ajira Portal.....
Umesomeka..
 
Mtazamo TU kaka
Sipo hapa kubadilisha msimamo wako juu ya poor thinking capacity ulionayo


Stay safe, mental illness is real
Unataka hela njoo Mahenge tuchimbe rubi, acha uvivu wewe
africa_2007_rwh_0483.jpg
 
Njoo Zanzibar uone watu wanavyojua kumwaga Hela.....

Mtaji ni mdomo wako na how smart you are.
Yani wazungu bana....kutembea nae beach nusu saa anakupa 50 usd.....

Hahaha sifungui hata ajira Portal.....
Leo nilikuwa Msikiliza ugombea urais wa chama fulani kwakusema vinaja walio maliza vyuo wanafanya ijambazi kwa kukaa nyumbani bila kujishulisha wanakula maandazi na vitumbu vya mama zao
 
Na siku jicho la tatu wakilifungua uje utoe ushuhuda pia. Watanganyika me/ke mmejitolea kwenda kuuza utu wenu huko😁😁
 
Cha muhimu kuwa tu makini ndugu yangu
 
Back
Top Bottom