Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
simara wewe😳!mara 1 kwa mwezi!hahhha kuna wale wanaokunywa daily..asbh anashtua anaenda kazin!jion ndo kabisaaa!arhNdiyo hapo, hata mimi mtu mlevi simuwezi!! mtu anywe hata kwa mwezi mara 1 na kwa staha.... sio kila weekend pombe utafikiri ana hisa TBL.
Sasa si wewe mwanafunzi wake mtiifu, ni vyema ukaanza kunifunza ni jinsi gani yale maneno yamekuwa correlated, layman mimi nimeona si sawa[emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23] then get ready for the next level!! nitakuunga naye na utakua na uwezo wa ku decode the Words!!!
Usiache kunikot na kunikumbusha sasa !!
Nikimwona tu nampa mkuu, wala usiwe na shaka [emoji23][emoji23][emoji23]mpe namba yang pls
😛😛😛😛😛Nikimwona tu nampa mkuu, wala usiwe na shaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Miyeyusho sana we binti wa mtu!Yaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya me mke mwema ,namtoa out namnunulia pombe wee .from there najua nimsave au nimdelete .
Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana .sitaki kabisa.sijui umeamka?
imepenya😀Kwani kuna mtu anakutaka wewe??
Binadam buanaaa!!
Wale wasiokunywa pombe wanaopenda mademuMkuu, Na wanawake wanaojiuza kwenye ma-bar wateja wao ni wanaume kundi lipi kati ya hayo uliyotaja?
Hahahah mwanafunzi ni Undefeated ,asokubali kufel sasa km unahisi utamtoa kwa TKO...Jipange sanaaaaaaaaaa.Sasa si wewe mwanafunzi wake mtiifu, ni vyema ukaanza kunifunza ni jinsi gani yale maneno yamekuwa correlated, layman mimi nimeona si sawa[emoji23].
Unless otherwise you will be defeated with a TKO[emoji109][emoji109]
Hahahaaa mkuu kaleta mada km vile anasumbuliwa na msururu wa wanaume wanaosema wa dar,Kwani kuna mtu anakutaka wewe??
Binadam buanaaa!!
Hahahaaa mkuu kaleta mada km vile anasumbuliwa na msururu wa wanaume wanaosema wa dar,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanapenda vya mpooYaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya me mke mwema ,namtoa out namnunulia pombe wee .from there najua nimsave au nimdelete .
Ila wanaume wa dar mnapenda pombe jamani.mtakuja kufumuliwa marinda nyie.
Mlevi hapana .sitaki kabisa.sijui umeamka?
huyo kiukweli mm namchuklia vby zaid!unaweza mweka kundi la wauaji akawa hafit bado...Vipi kuhusu mwanamke mlevi...!
OkWale wasiokunywa pombe wanaopenda mademu
Mi sio mlevi[emoji4] , sijawahi onja tangu nizaliweYaani mwanaume mlevi simtaki kabisa.wanawake waliiolewa Na walevi wanapata tabu sana.bora niendelee kupiga miayo.