mtakahela
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 801
- 1,268
- Thread starter
- #21
Ahsante sana mkuu, hivi bado nina pumzi sitakata tamaaJifunze kutokana na kushindwa huko, kuna mahala ulikosea, Japan ilikusanya nguvu zote za anga katika pamabano kubwa zaidi la anga kuwahi kutokea duniani during ww2 dhidi ya USA, pambano la reytegulf kwenye bahari ya pacific , wakitumaini kuwa pigo moja litawapoteza kabisa USA , mambo yakaenda ndivyo sivyo, na ikawa turning point ya Japan kulost ww2...ogopa kuweka mayai yote kwenye kapu moja, likianguka unapoteza yote...
Inaonesha mtaji wako ulikuwa limited, na ukaudump wote ili upige parefu katika mazingira ya kubahatisha, kilimo cha kutegemea mvua ni kamari...pole mkuu now usipoteze mda kuangalia ulichopoteza angalia ulichobakiza kikunyanyue...never give up
Nitapambana against all odds.