Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

Siku zote mwanamke hajui kupenda,ila anajua kutii,take it from me........!
 
ni kweli, bora wanawake wa naijeria.

 

Blood is thicker than water .mumewe ni m bakaji period .He need to be raped in jail and hanged .Una mtoto wewe ?He needs to be thrown in jail for life .No mercy
 
Watu wapo tofauti mkuu.
 
Nilishaamua..sitasoma message wala kupokea simu inayopigwa kwa mume wangu.....nilishaamua....sitamuuliza kwa mini kachelewa kurudi..nilishaamua....akienda safari namtakia kila la kheri na wala simsumbui kwa masimu huko aliko...tutasalimiana na kama kawaida.....nilishaamua....yeye na Mimi kupima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu...iwapo mmoja wetu akikataa mapenzi hayatafanyika bila condom......tulishaamua...ya mini kupata pressure za kijinga......?
 
hawa wanawake hawafai kabisa ukijaribu kuchimba utaona baada ya kumuoa tu mama mkwe anampeleka mwanae ambaye ni mkeo kwa mganga wakafunge akili yako akihofia kuporwa mume unakuwa haujielewi mpaka unaanza kuwasahau kutowasaidia ndugu zako hadi mama yako mzazi daaa... bas tu ndo hali halisi
 

Sio ngoma droo...ww kama mama watoto wangu hata unifanye nn siwezi kukuacha uoze gerezani...
 
ni kweli, bora wanawake wa naijeria.


Wewe unajuwa unachokisema au. Yaani ni mara 1000 uoe demu wa kibongo tena hata wa bongo muvi (mafuska) kuliko Mnigeria. Mademu wa kinegeria ni kama wachagga hapa kwetu kwani hawana mapenzi ya kiukweli na tena kama si Mnigeria mwenzake anaweza kukuua arithi mali zako. Don't wish mkuu!
 
mtu ambae hawezi kukusaliti kirahisi ni mama yako mzazi au mtoto wako wa kumzaa,ila kwenye mapenzi,mume au mke anaweza kukugeuka saa yoyote coz si ndugu yako wala si damu moja hawezi kukuonea huruma
 

Aisee...umeongea kama kaka yangu mmoja hivi....kila mara huniambia maneno yanayofanana akimaanisha kamwe mwanke asijilinganishe na mwanaume
 
Sio ngoma droo...ww kama mama watoto wangu hata unifanye nn siwezi kukuacha uoze gerezani...

mhh sem hii stori a flora na mumewe sijaifatilia sana so siwezi sema mengi,
 
kwann mnamuhukumu flora na sio huyo mbakaji? kweli mwanaume si ndugu yako.
 
Mkeo ndio si ndugu yako but mama ni ndugu yako wa kweli kabisa ili mradi tu awe amekuzaa yeye!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…