sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

we rest in peace mapema maana maneno unayoongea ni upuuzi mtupu
 
HONGERA MKUUU. UTARUDI TU HAPA UNALIA..... nadhani mpango wenu wa kuwatumia polisi kuua ili mseme chadema wanaua utawatoa aibu, sijui kwa hili la iringa mtatoka vipi? mmeua mbele ya kamera...... labda mturoge kwanza, wachawi wakubwa na wanywa damu za watanzani NAICHUKIA CCM, NAWACHUKIA POLISI HATA KAMA NI NDUGU ZANGU, NAWACHUKIA WANAFKI, NACHUKIA NACHUKIA, NACHUKIA, NACHUKIAAAAAAAAAAAA................ KU** LA M*M* YAKOOOOOOOOOOOOOOOO
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

Mbona tayari umeshakufa. Bora kufa Mwili kuliko Fikra. Wewe unaonyesha umeshakufa Fikra, ndio maana umekuja hapa kutetea mauaji. Hata wewe hutaishi milele.
 
Bro naomba niandike kwa ustaarabu na omba ufikirie ukiwa na malaria huwa unakwenda laboratory kuona kama muna vijidudu vya malaria na ndipo unapewa dawa mseto....brother inabidi ukapime ubongo wako na sehemu pekee tuliyonayo ni milembe dodoma......!!
Adress issue na sio kuroopoka na kukurupuka mradi uandike kitu hapa wish hii foruma ingekuwa na block a person hutufai ungekuwa wa kwanza.
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

Ooh no..another lost soul!..or is it a practical joker?
 
Wanawadanganya sana mnyika anakaa mbezi kwnye ghorofa kajengaje sijui,slaa anakaa masaki kwenye ghorofa kajengaje sijui mbowe ndo balaa wanapigania haki zipi wkt wao wanaishi kama wafalme!!
 
Uliye kuambia uipende nani? Au kuna mtu kakulazimisha kuipenda
 
Pole sana wee Kupe. Hilo siyo tatitzo lako,kubwa zaidi ni kwamba haujitambui au u-kibarakala wa mashetani(CCM) na serikali. Elewa kuwa kazi ya polisi siyo kutoa vibali vya mikutano au maandamano bali ni kutoa ulinzi tu full stop! Sasa wewe,hao vibarakala wako na hao mbuzi wa shughuli suburini 2015 muuone nguvu ya umma ilivyo. SUBIRINI TU WAKATI UTATOA MAJIBU.
 
Leo nikipona BAN sijui, kuna mijitu inachefua!! naepusha ban
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .
wewe mwehu,wewe ndiyo usiyejua kitu,mpuuzi usitutukane watanzania,hivi kweli unaamini kuna watanzania wasiojua kitu.mwambie mwema akuue kabla cdm haijatawala.mpuuzi sana amani ya kwenye makaratasi ndo unajivunia????wewe mwenyewe hapo ulipo unaishi kitapeli tapeli tu,halafu unadai tanzania inaamani??????aibu yako na magamba wenzio.
 
Wewe utakuwa haujitambui, ni mwendawazimu wewe
 
K U P E, zaid ya kupe ww ni ZUZU, yani mpaka akina Rejao na Ritz wameshindwa kukuunga mkono! Shit! Umeiharibu siku yangu!?
 
Mimi sio tu naichukia, bali natamani kiwake kiukweli niingie front kupiga hawa kokrochi wanaotaka kutuharibia inji.
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

hapana tafakari kwanza sio unakurupuka tu! Ebufikiria naufanye utafiti wa kina ktk haya mauwaji yanayo tokea kwenye hii mikutano ya chadema? Je wanaofanya mauwajihayo ni nani; A.Chadema B.Askari wa FFU... Hapo nafikiri jibu sahihi unalifahamu wewe kibaraka wa Chama Tawala. jibu nihao askari wako wa FFU ndiyo wanao sababisha mauwaji hayo ya kutisha ktk Taifa letu na ndiyo hao wanao taka kusababisha uvunjifu wa Amani ktk Taifa letu Tanzania... Naukome kuisingizia Chadema ktk hilo swala la hayo mauwaji yanayo fanywa na hao askari wa FFU. ASkari ambao wamepoteza uadirifu,utu,ubinadamu na Imani ktk Taifa... pia wameshaweka doa ndani ya Jeshi la police na Raiya.
 
Mtu mwenyewe anajiita kupe,unategemea nini kama si kuwapamba mabwana zake magamba!!
Chadema ni chama makini cha ukombozi hatutaki kupe wala viroboto
 
viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

Hapo kwenye blue, Angalieni picha hii, jinsi polisi walivyolinda amani kwa kuua mwandishi asiyekua na hatia...

attachment.php
 
Wewe Akili yako bado ni Bikira unapaswa kubikiriwa
 
Back
Top Bottom