sitaipenda CHADEMA HADI KUFA

viongozi wa CHADEMA wakiwa na akili timamu tena wasomi wanawashawishi wananchi wasiojua kitu kujiunga na maandamano au mikusanyiko yao isiyo na kibali cha serikali wakijua fika kabisa kuwa ni uvunjaji wa sheria . na wakijua kitakachotokea .mfano ..... KIFO CHA MUUZA MAGAZETI , na sasa KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI. wenyewe wamekaa kwenye magari yao makubwa na majumbani mwao wanapigwa na viyoyozi huku wakipata umaarufu kitaifa na kimataifa kwa mbinu chafu na haramu. naapa ni bora nizikwe hai kuliko kuiona NCHI YA AMANI KIPENZI CHA DUNIA TANZANIA ikiteketezwa na waroho wa urais CHADEMA . TANZANIA inaweza kufanya mabadiriko katika njia sahihi na za amani kama tulivyoingia katika vyama vingi kwa amani. lakini si kwa njia hii ya CHADEMA ...MUNGU ibariki TANZANIA .MUNGU inusuru TANZANIA na hili jinamizi la CHADEMA .

Kweli wewe ni kupe!
 
Anayeunga mkono CCM ni sawa na maiti inayotembea, hivyo Kupe wewe ni maiti inayotembea na CDM itapendwa na walio hai wenye kutumia akili katika kufikiri
 
kupe said:
wenyewe
wamekaa kwenye magari
yao makubwa na majumbani
mwao wanapigwa na
viyoyozi

hebu wataje ili nikutofautishe na watu waliyo mirembe na ambao hawakwenda shule
 
Back
Top Bottom