Sitachangia Michango Ya Harusi

Hali inapokuwa ngumu hivi, unaweza jikuta unamwambia hata mtoto wako kwa nini anakudai panadol kwa maumivu ya kichwa wakati wewe huna hela?
Na una mkomesha kabisa ole wako uumwe tena.
Halafu kuna mibazazi inadai maisha siyo magumu ila propaganda tu za mitandaoni
 
Michango sio lazima ni hiari

Hakuna mtu anayeshikiwa mtutu wa bunduki achange ni wewe na moyo wako

Binafsi nimeshachangia harusi za watu wangu wa karibu wengi ilipofika yangu hata nusu yao hawakuchanga na skumlazimisha mtu achange

Hayo ni maamuzi kama maamuzi mengine
 
Changia harusi kama vile unatafuta eneo la 'kwenda kula bata' ukiwa na mtazamo huu haitakutesa sana
 
Mkuu mimi binafsi nilijigharamia pas na kuweka akilini kua nisubiri michango ya niliowachangia nifanye harusi yangu hata wazo la kuchangiwa sikuliweka akilini uzur marafiki zangu wa karibu hao ndio nilianza kuwaambia siku flani naolewa na skumuomba mtu mchango wowote
Na hapo ndipo huwa kuna changamoto,ukiwa kwenye vikao ukimuuliza muoaji una kiasi gani,anakuambia ana laki 2;halafu anataka harusi ya milioni 20,huu ni ujinga.
 
Mkuu mimi binafsi nilijigharamia pas na kuweka akilini kua nisubiri michango ya niliowachangia nifanye harusi yangu hata wazo la kuchangiwa sikuliweka akilini uzur marafiki zangu wa karibu hao ndio nilianza kuwaambia siku flani naolewa na skumuomba mtu mchango wowote
Haya mambo yanachangamoto zake;na pia usipowaomba michango alafu ukawaalika waje tu kula na kunywa,wengi hawatakuja zaidi watakuja waswahili swahili wale watakaotunza wali kwenye mashati
 
Hahaha kwanza harusi ni wewe uitakavyo ndio hua, ukiitaka kuifanya kuubwa na unajiweza unafanya tu
Mimi sikuomba na hakuna aliekuja na wote walioniahidi kuja hakuja hata mmoja na walinichangia kiroho safi wala sikumind na urafiki wetu bado upo vile vile

Cha muhimu ni mtu kujipanga tu,mfano unategemea kuwa na watu 100 kila mmoja muwekee 50,000;kwa hiyo ukiwa na milion 5 yako inatosha kabisa
 
Hizo za kununa ndio zao,mimi eti jamaa hata sina mazoea naye kivile,ananijia eti jana tulikuwa kwenye kikao cha harusi ya mwanangu nimekuandikia utatoa laki moja,kwa usawa huu si kutafutana ubaya huko...!
Sioni sababu yoyote kuchangia michango ya harusi ni utapeli. Kama ujajipanga usi oe wala kuolewa mna leta usumbufu na kadi zenu za michango.

Kuna mmoja aliniletea kadi ikibidi nimwambie hali ni ngumu sana siwezi kuchanga kaninunia mpaka Leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom