Sitachangia Michango Ya Harusi

Sitachangia Michango Ya Harusi

Mbona nyingi sana mkuu? Me skutaka mambo makubwa kwa kweli na harusi zetu za kiislam labda uitake ya kifahari utaifanya kwa hiyo bajet hapo chenchi kwangu ingebaki tena nyingi tu za kuanzia maisha
Cha muhimu ni mtu kujipanga tu,mfano unategemea kuwa na watu 100 kila mmoja muwekee 50,000;kwa hiyo ukiwa na milion 5 yako inatosha kabisa
 
Huu ni utaratibu wa kuumizana,uanapanga wewe kuoa,unatakaje watu wakuchangie?halafu unakuta wanataka mambo makubwa,utasikia harudi ya milioni 30,ukimuuliza wewe mwenyewe una ngapi?anakuambia milionioja.
Ulitakiwa uajipange upate milioni 4 nne zako ufanye chakula na vinywaji,uwaalike watu wachache unaowataka,wao kama wataweza wakuletee zawadi.
Munatuchosha sana na tamaa zenu za mambo musiyoyaweza,ndiyo maana ndoa hazidumu,unaoa harusi kubwa kwa kuumiza watu,wengine wanatoa wasinuniwe tu,halafu maisha yanawashinda huko mbele.
Oeni kwa nguvu zenu za kimwil8 na mfuko bana.Muanaanza kunyima 2atu raha wanabadili njia,Tunatoa ela i ayotuuma sana.
Mchango mtu atoe bila kuomba bana,acheni tamaa,fanyeni harusi kubwa kwa gharama zenu.
 
Kwanza kabla hujakataa kuchanga fikilia siku na ww ukiwa na shida usipo changiwa utajisikiaje au utamwonaje ambae kakataa kukuchangia
Harafu kitu kingine kinachotuponza mtu anakupa kadi unasema haina shida tuko pamoja harafu mpaka harusi unaingia mitin
 
Hali yenyewe ilivyokuwa ngum, yaan wanatumia hafla zao za kuoana kama sehem ya kujipatia kipato zaid!![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwanza kabla hujakataa kuchanga fikilia siku na ww ukiwa na shida usipo changiwa utajisikiaje au utamwonaje ambae kakataa kukuchangia
Harafu kitu kingine kinachotuponza mtu anakupa kadi unasema haina shida tuko pamoja harafu mpaka harusi unaingia mitin
Harusi sio shida mkuu Ni raha ya muda mfupi inayogharamiwa Sana!!
 
Nachangia rafiki zangu na watu wangu wa karibu tuu.
Mtu ambae najua siku nikiolewa mimi sitamuomba mchango anisamehe tu maana simchangii.

Hapa nina groups 3 za harusi toka nimeingia sijasema hata HI nasoma namute.
 
Aafu watu lazima wajue, nisipokuchangia isiwe sababu ya kununiana.!!
Watu tumegeuza kukusanya michango ya harusi Kama mradi wa kupata hela.!!
Sio kila unayemuomba lazima akuchangie.!
Kumbe ni mradi wa nini kama sio kupata hela??
 
Huu ni utaratibu wa kuumizana,uanapanga wewe kuoa,unatakaje watu wakuchangie?halafu unakuta wanataka mambo makubwa,utasikia harudi ya milioni 30,ukimuuliza wewe mwenyewe una ngapi?anakuambia milionioja.
Ulitakiwa uajipange upate milioni 4 nne zako ufanye chakula na vinywaji,uwaalike watu wachache unaowataka,wao kama wataweza wakuletee zawadi.
Munatuchosha sana na tamaa zenu za mambo musiyoyaweza,ndiyo maana ndoa hazidumu,unaoa harusi kubwa kwa kuumiza watu,wengine wanatoa wasinuniwe tu,halafu maisha yanawashinda huko mbele.
Oeni kwa nguvu zenu za kimwil8 na mfuko bana.Muanaanza kunyima 2atu raha wanabadili njia,Tunatoa ela i ayotuuma sana.
Mchango mtu atoe bila kuomba bana,acheni tamaa,fanyeni harusi kubwa kwa gharama zenu.
Kwenye harusi wanaofaidika ni wale waliochanga tuu, bw na bib harusi wanafaidika wapi?? au ile keki na soda tu ? harusi kubwa au ndogo ufanywa na wachangaji.Fanya tathimini uniambie bw na bib harusi walikofaidika.
 
Hivi kumbe harusi ni shida
Kwanza kabla hujakataa kuchanga fikilia siku na ww ukiwa na shida usipo changiwa utajisikiaje au utamwonaje ambae kakataa kukuchangia
Harafu kitu kingine kinachotuponza mtu anakupa kadi unasema haina shida tuko pamoja harafu mpaka harusi unaingia mitin
 
Kwenye harusi wanaofaidika ni wale waliochanga tuu, bw na bib harusi wanafaidika wapi?? au ile keki na soda tu ? harusi kubwa au ndogo ufanywa na wachangaji.Fanya tathimini uniambie bw na bib harusi walikofaidika.
Rudia kusoma kama utaona mahali nimesema "wanafaidika",nimekataa kusumbua watu kwa michango kwenye jambo la starehe ambalo mtu anaweza kujipanga na kufanya kwa uwezo wake na kualika idadi ya watu anaoweza kuwanao kutokana na kipato chake,na siyo kununia watu wakishindwa kuchanga,tuchangiane kwen6e ELIMU na MATIBABU.
 
Michango sio lazima ni hiari

Hakuna mtu anayeshikiwa mtutu wa bunduki achange ni wewe na moyo wako

Binafsi nimeshachangia harusi za watu wangu wa karibu wengi ilipofika yangu hata nusu yao hawakuchanga na skumlazimisha mtu achange

Hayo ni maamuzi kama maamuzi mengine
Kumbe umeshapata stara mwenzetu?
 
Nachangia rafiki zangu na watu wangu wa karibu tuu.
Mtu ambae najua siku nikiolewa mimi sitamuomba mchango anisamehe tu maana simchangii.

Hapa nina groups 3 za harusi toka nimeingia sijasema hata HI nasoma namute.
Hahaha mzigua
 
[emoji23][emoji23][emoji23]watu mabandidu
Sioni sababu yoyote kuchangia michango ya harusi ni utapeli. Kama ujajipanga usi oe wala kuolewa mna leta usumbufu na kadi zenu za michango.

Kuna mmoja aliniletea kadi ikibidi nimwambie hali ni ngumu sana siwezi kuchanga kaninunia mpaka Leo.
 
Back
Top Bottom