Sitachangia Michango Ya Harusi

Sitachangia Michango Ya Harusi

Rudia kusoma kama utaona mahali nimesema "wanafaidika",nimekataa kusumbua watu kwa michango kwenye jambo la starehe ambalo mtu anaweza kujipanga na kufanya kwa uwezo wake na kualika idadi ya watu anaoweza kuwanao kutokana na kipato chake,na siyo kununia watu wakishindwa kuchanga,tuchangiane kwen6e ELIMU na MATIBABU.
Wasipochanga vilevile hawaji labda kama upo sehemu yenye njaa kali
 
Wasipochanga vilevile hawaji labda kama upo sehemu yenye njaa kali
Hakuna wa kukataa mualiko bila sababu za msingi,gharama ndiyo sehemu ya furaha yako,haya mambo ya kuchangiana yanasababisha hata mazuzu kupata wake,halafu baadae hawawezi kuwalisha.
 
Vijana wanaota kufanya sherehe kubwa kwa michango ya watu wengine.
Yaani anategemea michango ya watu lakini sikilizia ndoto zake Sasa.

Kuna dada nafanya naye kazi waliahirisha shughuli ya mdogo wake kipindi Cha korona.
Wakategemea kupata pesa baada ya korona kuisha.
Kilichowakuta anajuta Sasa hivi.
Anatamani wangefanya ya watu wachache maisha yakaendelea
 
Back
Top Bottom