Sitaandamana D9. Wewe je?

Media za Tanzania hawakutimiza wajibu wao kuripoti matukio yasiyohusiana na uchaguzi na Vurugu zacha

  • Uzalendo

    Votes: 2 14.3%
  • Kukosa uadilifu

    Votes: 7 50.0%
  • Walipewa rushwa

    Votes: 10 71.4%

  • Total voters
    14
Siwezi kuandamana nikatolewe utumbo kwa risasi kisha picha zirushwe CNN.
 
Ni bora nife nikipambania uhuru wangu na vizazi vyangu vya baadae kuliko kuendelea kuishi nikiwa mtumwa kwenye Nchi yangu.

December 9 bora nife on battlefield kuliko kujifungia ndani kama mlemavu.
 
Kuna uwezekano mkubwa asilimia kubwa ya jeshi hawakuwa na uhakika wa kilichotokea. Ila kwakua amekiri hadharani, mchezo umebadirika maradufu. Na ndiyo maana wengi wameona akitetea askari.

Kama kweli jeshi bado lipo hai. D9 akipigwa mtu risasi basi ni lazima jeshini kuchafuke. Kuna watakaokubali kuua raia na watakaokataa, hapo tutegemee matokeo ya Sudan japo ni kitu chenye asilimia ndogo sana ya kutokea.

Option ya pili, ambayo ni high likely kutokea ni jeshi na wananchi wasiotishika kumuondoa mtu madarakani.

In any miraculously way hayo yote hayatotokea. Basi ni kabla au baada ya D9, mapapa yatamgeuza papa jike kitoeo sababu hawatokubali kuona siri zao zikimwagwa hadharani utafikiri taifa ni kibalaza cha umbea.

Either way, lazima aondoke. Kumwaga damu ni kitu kizito na kukiri kufanya hivyo ni sawasawa na kumcheka malaika mtoa roho na atakuondoa kwa hasira.
 
Unegjua hizo hasira huku kitaa usingeongea kishogashoga
Binafsi naona kuandamana bila kuwa na mikakati maalum ni ujinga maana mtu unaenda risk maisha kizembe kwasababu zifuatazo:

1) Mtu ana risasi wewe una mikono mitupu, au umebeba jiwe, utategemea ushinde kweli? Ukizingatia huna nguvu unayoitegemea ili kumtoa kiongozi mbaya madarakani, mfano Musa alimshinda farao, sababu alikua na backup ya Mungu, sasa kwenda kizembe bila backup ni kujitaftia shida

2) Kuwa na strength in numbers kwenye maandamano, hio ni changamoto kwa hapa Tz, watu wengi hawapo tayari kuandamana sababu hawajafikwa puani, unajikuta mnaandamana mpo 50 au 100 na hamna silaha, mwishowe mnauliwa kama kuku, maandamano yangekuwa na watu at least kama 500,000 kwa dar tu wanaoelekea ikulu na 500,000 kwa Dodoma wanaoelekea ikulu, hapo maandamano yangekuwa na mafanikio kwa kiasi kikubwa

3) Hiyo tarehe 9 Dec mfano watu wakiandamana tena, kama walivofanya oct 29 huenda wakafa wengi zaidi, hivi vitu tusifanye kwa mihemko, tutumie akili na kuangalia uhalisia badala ya kutumia tu hisia

Lisa Rina gallow bird secretarybird Mjusi Sharobalo DUBULIHASA
 
Noma kweli yaani 😀.
 
Kama hutaandamana huna haya ya kutangaza tuachie sisi waTanganyika tufie nchi yetu maadam huyu mzenj ameamua kuja kutuua kama NYUMBU!!
Kweli kaka salute
Noma kweli yaani 😀.
Shida ni moja wanaoratibu maandamano wengi ni wanawake wao wanaenda kwa hisia bila logic

Nb: sipingi maandamano but it's danger
 
 
Msiandamane maana kiukweli kabisa hii nchi hamuwezi ichukua .Subirieni 2030.
Na hata 2030 haitowezekana, yaan hii nchi wa kuiponya ni Rais mwenyewe kwa utashi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…