Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

Ushamba tu, kariakoo kuna wazee wa vyuo kibao! wanatumia moyo kufikiri badala ya kutumia ubongo
 
Andika hayo maadili ya Kitanzania kuhusu mavazi tuyajue mkuu.

Mkuu nadhani kama wewe ni MTANZANIA wa kuzaliwa na kuishi TZ basi mimi sina haja ya kukuandikia hayo ulio yauliza.
Kila MTZ anajua ustaarabu wetu!
Hayo yaliobaki ni kuiga wazungu. Hayafai.
 
Huyo atakuwa wa-kuja.

Hao waliomghasi ni wajukuu wa babu zako wamanyema wa kariakoo?!

Its to see vibibi kama nyie mnashabikia GBV.
Ukware wa vijana hao wa kiume hauwezi ku justify kutaka kumvua nguo msichana aliyevaa nguo anayojisikia comfortable in it.

Yale yale tu....ukiona mkeo hana makalio makubwa...basi unaenda kuoa mwingine mwenye makalio makubwa. Ukitamani mwembamba mwenye macho ya mdondo unaenda kuvuta unaweka ndani....baadae unaanza kuwa na nyumba ndogo. Tama za kimwili zinazofundishwa kwebye nyumba za ibada.
 
Mvalishe dada'ko nusu uchi "comfortably" au mkeo (kama unae) au hawara yako halafu mpeleke Kariakoo, utawajuwa ni kina nani hao/ Yanini unaandikia mate na wino upo.
 
Wanataka wakina dada wavae minguo mweusi tiii....mirefu inaburuza uchafu wote wa kariakoo....wakati wanaume wao wanavaa vipedo ili visiburuze chini vikazoa mavi ya kariakoo.

Katika watu ambao HAMNAZO nasema wewe UMETIA FORA, wewe ni namba moja. Unashabikia upumbavu wa makahaba? Kamchukue mkeo kama unae mvalishe huo upuuzi unaoshabikia pita nae mtaani kama jamii haikukuona kuwa wewe ni bwabwa, maana mwanaume rijali huwezi shabikia kuona upuuzi huo ili iwe vipi? Kwanza ni aibu kuongozana na mwanamke ambae amevaa nusu uchi na sio sifa. Pole sana ukikua utaelewa nini ninamaanisha na kama tayari wewe ni mtu mzima basi rudi milembe ukamilizie ile dozi bado hujapona, nasema hivi hujapona rudi hospitali haraka sana vinginevyo utasababisha maafa
 
si ndio hapo sasa huu ni unyanyasaji mfumo dume
 
Kenge kweli....I am F old than your momy. Dont het on my way.

Upuuzi wa kuwaamulia watu wavae nini na nini kipo comfortable kwako ni sawa na kitaka kijijambisha tu.

Acheni wendawazimu. Msiwahukumu watu kwa vipengele vya imani zenu....wahukumuni waumini wenu kwenye ibada zenu.
 
Kumbe wewe ndio wale wa ohio? Samahani sikujua kama upo katika mabiziness na mabiashara ila sasa kwanini usimalizie matangazo huko huko ohio tu ama kule kwingine ambapo ndio hua mnawinda? Kariakoo sio mahala pako, wewe kasubiri huko kwenye mitaa yenu ya kujidai ili uuze vizuri, ebo... eti older than my mom, wewe tumbiri kweli, unajua mimi ninaumri gani? Unatafuta kubakuliwa nini? Kama ndio hivyo unawashwa na biashara yako ile ya naniliu imegoma, hayaaaaa pita mitaaa hiyo ukashughulikiwe na vijeba vya shimoni
 
Kenge maji kweli wewe....ask around. Naweza kuwa baba yako, muulize vizuri mama yako.
 
Liwe fundisho kwa wengine, mitego hiyo sijui wanamuwekea nani, vua sasa tembea uchi kichwa mbovu wewe....
Mkibakwa lawama, huku mnarahisisha kubwakwa wenyewe, ndio maana marekani yule mwalimu kafunguliwa kesi ya kubakwa akafungwa siku 30tu na jaji akasema binti mwenyewe ndio alikua anafanya mitego, na ni kweli, hormone zinachangamka zikiona sehemu nyeti kama hizo waziwazi....
Kinachowasumbua ni ufinyu wa elimu kuhusu haki za binadamu na hulka zenu za kuwanyanyasa wanawake. Mwanamke hata avaeje mhalifu wa ubakaji atambaka tuu, ushahidi ni kwamba hata huko nchi ambazo wanawake hulazimika/hulazimishwa kufunika viungo vyao vyote vya mwili labda isipokuwa macho, yapo makosa ya ubakaji. Kwahiyo kusingizia mavazi ni kujificha katika lindi la unyanyasaji na utamaduni mbovu dhidi ya haki za binadamu/wanawake.
 
Mkuu nadhani kama wewe ni MTANZANIA wa kuzaliwa na kuishi TZ basi mimi sina haja ya kukuandikia hayo ulio yauliza.
Kila MTZ anajua ustaarabu wetu!
Hayo yaliobaki ni kuiga wazungu. Hayafai.
Niambie ni mavazi gani unayovaa ww ambayo asili yake ni Tanzania na hujaiga kutoka utamaduni wa mataifa mengine
 
Ajabu hasa ukizingatia nguo tumeanza kuvaa hata karne haijafika.

Ni kweli mkuu, kwa asili yetu sisi Waafrika hatukuwa tukivaa nguo hizi tunazozifahamu sasa bali ni vipande vidogo vya ngozi na magamba ya miti kwa kiasi cha kufunika kwa uchache uke na au uume tuu kwa watu wazima. Wanawake waliyaacha wazi kabisa matiti yao na halikuwa jambo la ajabu. Inasikitisha sana kwa hao malimbukeni wa k'koo kukumbatia tabia za kitumwa, wanahamanika wakiona mapaja na au matiti ya mwanamke wakati walinyonya ya mama zao mpaka wakakinai. Hii ni tabia ya kishenzi,ni uhalifu, inastahili kukemewa.
 
Kenge maji kweli wewe....ask around. Naweza kuwa baba yako, muulize vizuri mama yako.

Heeee maajabu... wewe ni jike dume nini? Maana ulisema wewe ni F na unaumri mkubwa kuliko then sasa hivi unaniambia wewe unaweza kuwa ni baba, aroooo khatareeeeeeeee.

Sasa wewe bibi, agh samahani babu, unatafuta nini humu? Kisa cha wewe kuvaa kimini hali yakua wewe ni kibabu inamaana gani? Inamaana wewe ni shakuraaaa? Dah kariakoo si mahala pako, nenda kuleeeeeee ughaibuni ukaolewe ndio kuna ndoa zenu huku kwetu ufirauni huo haupo. Yani kisa cha kulazimisha vijeba vya kariakoo vikubakue ni nini, mtu mwenyewe ushajiishia? Nitakutumia nauli uende ukaolewe hukooooooooooo kwa wenzako wenye tabia ka zako.

Bibi, asshhh, nasahau babu, hivi mara ya mwisho kubakuliwa ilikua lini kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom