Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
[h=3][/h]

[h=1][/h]
Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga.

<tbody>
</tbody>

MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.

Mrembo huyo akizongwa na vijana wa Kariakoo.
Tukio hilo lilijiri sehemu yenye mkusanyiko mkubwa, Kariakoo jijini Dar ambapo mrembo huyo alikuwa kwenye ‘shopping’ kwa ajili ya sikukuu ijayo ya Krismasi.

Akisaidiwa kuingia kwenye gari.
Likiwa linarandaranda maeneo hayo, Ijumaa Wikienda lilinasa laivu tukio hilo ambapo mrembo huyo alivuliwa nguo hadharani na kuacha ‘vitu’ njenje vikishuhudiwa hata na watoto waliokuwa wakimzomea.

Wanaume hao waliokuwa wakiongezeka na kuanza kumshika sehemu nyeti, walisababisha dada huyo kuanza kutoka nduki ambapo alizama kwenye duka moja kisha akasitiriwa kwa khanga na mama mmoja msamaria mwema.

Akiwa ndani ya gari.
Alipotoka bado wanaume waliendelea kumzingira ambapo ilimlazimu kutoa shilingi elfu hamsini kisha kurukia kwenye ‘kenta’ iliyomuondoa eneo hilo na haikujulikana alikoelekea kwa sababu gari hilo lilichomoka mbio huku akiwa amekoma ubishi wa kutembea nusu utupu.
 

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
Eh kinadada tujifunze kuvaa vzuri..cpat pcha hilo soo mtu ukikutana nalo

iliwai kumtokea sista. ilikuwa siku 2 kabla tumetoka state ambapo kule ilikuwa baridi.
tumefika dar kukawa na joto kali. tulienda kariakoo kufanya shopping alivaa kibukta kifupi sana sana sana na mapaja yake yalivyo meupe kama papai au embe dodo vijana wa mjini mate yakawatoka.
sababu ya joto kali tumefika kariakoo katikati vijana wa kihuni wakataka wamvue bukta tukazama kwenye duka mpaka askari walikuja kutueskoti.

ila siwez sahau huo umati wa watu. watanzania walinishangaza sana kwa uchu wa kutaka kubaka
 

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
997
1,000
iliwai kumtokea sista. ilikuwa siku 2 kabla tumetoka state ambapo kule ilikuwa baridi.
tumefika dar kukawa na joto kali. tulienda kariakoo kufanya shopping alivaa kibukta kifupi sana sana sana na mapaja yake yalivyo meupe kama papai au embe dodo vijana wa mjini mate yakawatoka.
sababu ya joto kali tumefika kariakoo katikati vijana wa kihuni wakataka wamvue bukta tukazama kwenye duka mpaka askari walikuja kutueskoti.

ila siwez sahau huo umati wa watu. watanzania walinishangaza sana kwa uchu wa kutaka kubaka

Mwambie sista akome akija bongo aishi kibongo bongo na akirudi state aishi kistate state
 

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
Liwe fundisho kwa wengine, mitego hiyo sijui wanamuwekea nani, vua sasa tembea uchi kichwa mbovu wewe....
Mkibakwa lawama, huku mnarahisisha kubwakwa wenyewe, ndio maana marekani yule mwalimu kafunguliwa kesi ya kubakwa akafungwa siku 30tu na jaji akasema binti mwenyewe ndio alikua anafanya mitego, na ni kweli, hormone zinachangamka zikiona sehemu nyeti kama hizo waziwazi....
 

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
2,207
2,000
wengine wanavaaje?

Aaah.. sasa akivaa kama wengine mtajuaje katoka "state"? Yeye hawezi vaa kama wengine.. yeye ni special! Na hivyo vikaputura huwa vinanunuliwa maalum kwa ajili ya kuja kuvivalia bongo tu..!

Ila mi nadhani wabongo tuna ka-ushamba flani ka asili.. maana hata wadada wanaoishi dar wakija huku mikoani huwa wanavaa hivyo hivyo vikaputura au vimini, pamoja na kwamba huku kuna baridi kuliko dar! Watu wakionekana kumshangaa utasikia "ah, yaani watu wa huku washamba.. mbona dar ni kawaida kuvaa hivi..?"
 

Rapherl

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
3,507
2,000
Waswahili wa k/koo mtakufa na UKIMWI kwa kuwa na tamaa za kijinga,kwanza mtu hamumjui alafu sijui hata kama wangekumbuka condom kama wangefanikiwa na hilo jaribio lao

Utafikiri hamjawahi kuona maungo ya mwanamke!

Sent from BlackBerry 9520
 

culbby

Senior Member
Oct 24, 2013
153
0
Hiyo miwanaume yenye ugwadu ikiishi Uganda mbn itakoma kule full kujiacha kwa rahazk hakuna miluz wala kushangaa km mbele wa2ache 2jiachie jmn
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom