Sista duu Anusurika kubakwa hadharani baada ya Kukatisha na Kimini kinachoonyesha Nyeti zake K/Koo

[h=3][/h]

[h=1][/h]
Mrembo aliyevaa kivazi cha ajabu kilichoacha wazi sehemu zake nyeti akisaidiwa na wasamaria wema baada ya kuvaa khanga.

<tbody>
</tbody>

MREMBO wa haja ambaye jina halikupatikana amenusurika kubakwa na wanaume baada ya kuvaa kivazi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya maungo yake nyeti.

Mrembo huyo akizongwa na vijana wa Kariakoo.
Tukio hilo lilijiri sehemu yenye mkusanyiko mkubwa, Kariakoo jijini Dar ambapo mrembo huyo alikuwa kwenye ‘shopping’ kwa ajili ya sikukuu ijayo ya Krismasi.

Akisaidiwa kuingia kwenye gari.
Likiwa linarandaranda maeneo hayo, Ijumaa Wikienda lilinasa laivu tukio hilo ambapo mrembo huyo alivuliwa nguo hadharani na kuacha ‘vitu’ njenje vikishuhudiwa hata na watoto waliokuwa wakimzomea.

Wanaume hao waliokuwa wakiongezeka na kuanza kumshika sehemu nyeti, walisababisha dada huyo kuanza kutoka nduki ambapo alizama kwenye duka moja kisha akasitiriwa kwa khanga na mama mmoja msamaria mwema.

Akiwa ndani ya gari.
Alipotoka bado wanaume waliendelea kumzingira ambapo ilimlazimu kutoa shilingi elfu hamsini kisha kurukia kwenye ‘kenta’ iliyomuondoa eneo hilo na haikujulikana alikoelekea kwa sababu gari hilo lilichomoka mbio huku akiwa amekoma ubishi wa kutembea nusu utupu.
mshikaji kaopoa kiulaini mbaya..
 
Kinachowasumbua ni ufinyu wa elimu kuhusu haki za binadamu na hulka zenu za kuwanyanyasa wanawake. Mwanamke hata avaeje mhalifu wa ubakaji atambaka tuu, ushahidi ni kwamba hata huko nchi ambazo wanawake hulazimika/hulazimishwa kufunika viungo vyao vyote vya mwili labda isipokuwa macho, yapo makosa ya ubakaji. Kwahiyo kusingizia mavazi ni kujificha katika lindi la unyanyasaji na utamaduni mbovu dhidi ya haki za binadamu/wanawake.
Hiyo elimu yako imetungwa tu, nahaki za biinadamu wakisema wanazibadilisha hata leo wanabadilisha tu, mbona kuna haki za mashonga in some countries.. sometimes inabidi kujiongeza, sawa kuna rapist ambao wao nia yao hua ni kubaka kweli sikatai, ila wengine unawapull mwenyewe, n still considering the situation, mtu una kimini tu na chupi ndani, mtu akija kukubaka atatumia sekunde ngapi kukuvua? ila imagine mtu ana jeans, kwanza lioivotyt kumvua ni muda gani? angalau hata akipiga kelele utasema anaeza bahatika watu wakawa washafika hajabakwa, au hata raist akaona hapa inanipa tabu kabla kijasanuka anacancel anakimbia, in some cases it can he possible, Ubakaji sawa upo ila one of the causes ni hili, wanaume wengine wanaweza wakawa busy hawana mawazo na ngono n ukawavuta akili kwa ulivovaa, we binti kimini usiku mwenyewe unatafuta nini? haki za binadamu ujinga gani huo, zifatilie siku ukibakwa ndio utajua kama kuna haki za binadamu, swala lipo lipo ukikaa unasema haki itafanyika ushapata mimba sijui utafanyaje.. Considering the fact kua hata possibilities ndogo hujazifikiria kauli yako ya "tatizo langu ni ufinyu wa elimu ya ..." itoe, nazijua vizuri sana na ziko irrelevant kwa tunachoongelea, haki itafanyika mbakaji akibakwa ila huezi lazimisha mtu asibake mwenzake ati haki ipo, Wewe ndiye mfinyu wa elimu na kufikiria all possibilities za mtu kubakwa
 
Kwanza kabisa mimi si mwanamke, pili maneno "Ufinyu wa elimu" fulani sio tusi kwani ni watu wachahe sana duniani ambao wanayoelimu ya kila nyanja, kama wewe ni daktari unaweza kuwa na ufinyu wa elimu ya uhandisi. Nashangaa jinsi ulivyotokwa na povu kwa jambo jepesi kama hili. Aidha, maelezo yako yana kuakisi/yanatoa taswira yako hadharani kuhusu hulka, tabia,malezi, na elimu yako dhidi ya wanawake.
 
Hii tabia ya kughasi akina dada kwa sababu ya mavazi yao haikubaliki hata kidogo na ni kielelezo cha jinsi tulivyo kama jamii.

Kwenye jamii zilizostaarabika lazima hao wahuni wangechukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwenda uchi ndo ustaarabu kweli? Sasa tofauti kati yetu na wanyama iko wapi? Kustaarabika ni kujistiri. Si lazima tuwe na maoni sawa ila we should be able to tell what's right from wrong.
 
Kusikia kwa Kenge ni mpaka atoke damu masikioni,naamini huyo dada sasa kasikia vizuri baada ya dhahama hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom