SISIEM-mfa maji.!

You made my day! Utafikiri CDM wana wabunge 100
 
wako wanpiga mzigo dodoma kwenye ufunduzi wa kanda ya kati.!
hawajatetereka hata punje, na ilelast week pale mjengoni ilikuwa ni trela tu ngoja wakirudi mbona mtaichek shoo..

Tumechoka na maigizo, Hivi mnafuatilia jinsi wananchi walivyowachukia nyie magaidi au mnajipa moyo tu huku ukweli mkiujua?
 
Tumechoka na maigizo, Hivi mnafuatilia jinsi wananchi walivyowachukia nyie magaidi au mnajipa moyo tu huku ukweli mkiujua?
ugaidi.!????
we subiri tu uone hii ishu itakavyo-backfire.!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…