loyal

  1. Kabota

    Major Lazer waja na ‘Loyal’, awamu hii wakiwa na Kizz Daniel na Kranium

    Major Lazer wameachia wimbo mpya, ‘Loyal’ waliomshirikisha staa wa Jamaica, Kranium pamoja na hitmaker wa Nigeria, Kizz Daniel, Jumatano hii. Wimbo huu umekuja na video yake, ya nne katika ushirikiano wa Major Lazer na muongozaji wa Afrika Kusini, Adriaan Louw Tazama video ya Loyal hapa...
Top