Na wewe mpaka usachiwe, hela ziwekwe kwenye tendegu, umelala au umekufa? Mwanamke sio mke wako unalalaje nae kwa raha hivyo? Ukinyonywa damu je?.Nyie si matomaso kama kawaida yenu, mtuulize sisi wanaume tunavyo patwa na masaibu.
Unajua wizi mpya wa wanawake siku hizi? Mkilala usiku akikusachi pesa anaficha kwenye tendegu la kitanda analiinua anaficha mwanaume akiamuka akijisachi hola si anakimbilia kumsachi mwanamke nae patupu chooni patupu uvunguni patupu kwenye mto patupu kumbe mshiko upo kwenye tendegu uzuri mm huwa nalala kimachale kama sungura huniibii kirahisi rahisi.
sijambo bwan'kaka (ka avatar kanaonyesha we ni bwana mdogo wangu lakini)
haya sasa nabanduka officially bana!!! naona nachakachua tu sasa, wenyewe hawapendi
Ni point nzuri sana kwani wengine hutoa kiingilio, mpaka wanapata wajukuu mahari haikumalizwa kulipwa.Hizo points mbili ni za msingi mno. Nitaendelea na
-Mkopo kesho, leo lipa zote kwa mkupuo mmoja.
sijambo bwan'kaka (ka avatar kanaonyesha we ni bwana mdogo wangu lakini)
haya sasa nabanduka officially bana!!! naona nachakachua tu sasa, wenyewe hawapendi
aisee si unajua net za kuvizia hizi na simu za tochi...tabu tubu, nataka nijenge mnara wangu hapo nje
heheheee sukari guru hiyo mamakee (waliiga zile goody goody za kenya...lol)
sidhani aisee kama zipo tumuulize Preta halafu hizo ziwe mandatory (huko kwetu) kwenye sehemu ya mahari ...lol!
Na wewe mpaka usachiwe, hela ziwekwe kwenye tendegu, umelala au umekufa? Mwanamke sio mke wako unalalaje nae kwa raha hivyo? Ukinyonywa damu je?.
Ni point nzuri sana kwani wengine hutoa kiingilio, mpaka wanapata wajukuu mahari haikumalizwa kulipwa.
- Wale waliooa kwa mkopo, walipe mara moja kwa kuzingatia "devaluation". Sio anatoa laki moja (kwa mfano) ile ile ya miaka 40 iliypita.
wewe inaelekea siku hizi unashuka njiani na sio patandi...hehehee hata manadani tengeru huji siku hizi eeh!! nina mshare laini bana ujeWw chakachua tu! Unajua kwa WANAUME haliharibiki jambo! Afu mbona twapishana kama vi-hiace vya tengeru siku ya soko?
Na wewe mpaka usachiwe, hela ziwekwe kwenye tendegu, umelala au umekufa? Mwanamke sio mke wako unalalaje nae kwa raha hivyo? Ukinyonywa damu je?.
Umesema vyema. Kama ilikuwa anadaiwa shilingi 50 za mwaka 1964, zifanyiwe tathmini na kuthaminishwa upya kwa bei ya sasa.
Kisha azilipe zote tuzikatie na kodi TRA kuendeleza uchumi wa nchi
goody goody! Ha ha ha umekmbsha mbali sana, wapi ntazpa hz. Loh
Ni point nzuri sana kwani wengine hutoa kiingilio, mpaka wanapata wajukuu mahari haikumalizwa kulipwa.
- Wale waliooa kwa mkopo, walipe mara moja kwa kuzingatia "devaluation". Sio anatoa laki moja (kwa mfano) ile ile ya miaka 40 iliypita.
haya na hapo waseme 'sisi ndo wanaume, tunakopa hadi mahari'
Women will never be as successful
as men because they do not have
wives to advise them.