Ahsante sana rafiki. Tunalitambua hilo kama tunavyolitambua hili kuwa: Kama si wanaume nyie msingekuwa mama zetu.
Umemmiss my shemeji uporoto au? Kama sijapatia ni PM unifafanulie, napenda uwe mzima kila siku bana. Utanifanya nilie mwenzio.swahiba mi sio mzima wala nini. Si unajua kwanin?
Khaaa! Uongo mtakatifu huu!
Halafu Fidel yule mpwa wako mwenye busha imekuwaje habbarr yake?
Marhaba..... Tulipanga mtoko na na Asprin sasa yuko kimya hadi mida hii, naona napanga mkutane kaunta mkapange mikakati zaidi ya uanaume sasa nadhani no mtoko tena
heheeee bora umejilinda maana niliju afika unapiga krosi dhaifu sana hapo kaka.
Naunga mkono hoja.. Ngoja Preta akuje atuambie kama bado zinapatikana..lol
Umeonae... Inamana hizo condom alizijaza kwenye wallet au?Fide kwa mafiksi aisee....
Usipite kimyakimya angalua smile tunapita tu
Navyo mjua huyu Babu golden chance kama hizi huwa hakosei we subiri kaPM kabla hujalog off
Ni suala zuri tu. Kwa sababu za ubabaishaji wa baadhi ya wanaume, mm mawazo yangu makuu ni haya:Tunataka tubadili mchakato wa mzima wa mahari. Unaonaje hilo?
Khaaa! Uongo mtakatifu huu!
Fide kwa mafiksi aisee....
Ni suala zuri tu. Kwa sababu za ubabaishaji wa baadhi ya wanaume, mm mawazo yangu makuu ni haya:
- Kiwango kiwe kikubwa, sio kidogo cha kukuruhusu kuoa na kuwacha kama upendavyo wewe.
- Kusiwe na kipengele cha "Mteja ni mfalme. Usiporidhika utarejeshewa pesa zako". Ukishakutoa mahari, kwa sababu yoyote ile, huwezi kudai urejeshewe.
Unaweza kuongeza vipengele vyengine.
Ni suala zuri tu. Kwa sababu za ubabaishaji wa baadhi ya wanaume, mm mawazo yangu makuu ni haya:
- Kiwango kiwe kikubwa, sio kidogo cha kukuruhusu kuoa na kuwacha kama upendavyo wewe.
- Kusiwe na kipengele cha "Mteja ni mfalme. Usiporidhika utarejeshewa pesa zako". Ukishakutoa mahari, kwa sababu yoyote ile, huwezi kudai urejeshewe.
Unaweza kuongeza vipengele vyengine.
BHT hujambo
Mambo yako
Naona hubanduki kwenye huu uzi
aisee si unajua net za kuvizia hizi na simu za tochi...tabu tubu, nataka nijenge mnara wangu hapo nje
heheheee sukari guru hiyo mamakee (waliiga zile goody goody za kenya...lol)
sidhani aisee kama zipo tumuulize Preta halafu hizo ziwe mandatory (huko kwetu) kwenye sehemu ya mahari ...lol!
Hahaha. Anawadanganya wenzie kwenye keyboard, kuna wanaume wake zao mabaunsa bana, achelewe aone cha moto, lol..