bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,880
habari ya wewe mpendwa?
afadhali umeongezeka
habari ni njema kabisa mamii....nijaalie afya yako tafadhali
jamaa wamejigamba na uanamme wao sasa tena wanaanza kulia lia wakiogopa kodi!!!
habari ya wewe mpendwa?
Gaijin & bht, kwa tukilipa kodi mtakubali kumilikiwa na mtakua na adabu zote kwa the owner? ukfungua mdomo tu nakutolea faili la risti tena lna tin na mhuri yte ya vat,
Gaijin & bht, kwa tukilipa kodi mtakubali kumilikiwa na mtakua na adabu zote kwa the owner? ukfungua mdomo tu nakutolea faili la risti tena lna tin na mhuri yte ya vat,
Gee leo umeamkia wapi mpendwa?..lol, utasababisha wenzio tukimbizwe mirembe bana!Usihofu Bee.....thamani ya nyumba ndogo ikipanda watarudi wenyewe kujimilikisha rasmi kwa ndoa; kwa kuwa angalau hiyo wanaweza kuuza baadae japo kwa hasara.
Biashara ya nyumba ndogo ni hasara mwanzo mwisho ..................:]]
bht halafu nimesikia kama unaitwa kule kwenye jukwaa la katiba wewe nenda kule hapa tuachie sisi...lolTF kaka hapa mbona warm up tu, na ushaanza kulalama tena!!!!
Usihofu Bee.....thamani ya nyumba ndogo ikipanda watarudi wenyewe kujimilikisha rasmi kwa ndoa; kwa kuwa angalau hiyo wanaweza kuuza baadae japo kwa hasara.
Biashara ya nyumba ndogo ni hasara mwanzo mwisho ..................:]]
huko kutakuwa kuidhulumu sirikali mapato yake halali...
Habari zenu waungwana.....
Huu ni waraka kwa vijana/wavulana wanaokaribia kuwa WANAUME. Kuwa MWANAUME si mchezo na si lelemama. Ushawahi kusikia Chama cha Wanaume, Umoja wa Wanaume, Umoja wa Wanasheria Wanaume, Umoja wa Madaktari wanaume etc?........ Hii inamaanisha MWANAUME ni Taasisi inayojitegemea.
Mwanaume kamili aliyekamilika si kama yule aliyozungumzia Bishanga kwenye sredi yake (kwa makusudi siweki link yake hapa)
Ili uwe MWANAUME yakupasa kwanza kabisa kumshukuru Mungu kwa kuumbwa jinsia ya kiume. Umepewa upendeleo lazima ushukuru. Halafu:
1. Uwe RIJALI na MMILIKI (hili halihitaji ufafanuzi) Ukishakuwa rijali unapaswa uwe na UMILIKI. Umiliki wa mwanaume rijali ni umiliki wa MWANAMKE/WANAWAKE. Iwe rasmi au vinginevyo. (Umiliki wa watoto pia ni muhimu japokuwa hili lategemea zaidi mapenzi ya Mungu). Ikumbukwe kuwa Mwanamke ni MALI ya mwanaume lakini watoto ni mali ya Mwanamke na Mwanamme.
2.Uwe na MAAMUZI. Usilegelege katika maamuzi yako. Mwanaume ndiyo kichwa cha familia, kichwa hakipaswi kuyumbishwa na mabega.....sawa? Kumbuka wewe ni taasisi!
3. MWAJIBIKAJI: Ni wajibu wako kuhakikisha Mwanamke UNAYEMMILIKI anatosheka na na kuridhika na huduma zako. Bioloji yake ipate habari yake sawa sawa, tumbo lake lipate chakula cha kutosha, mwili wake upate mavazi na miguu viatu. Mkipata watoto na mwanamke wako ni wajibu wako kuhakikisha wanapata mahitaji yote wanayostahili. Kama huna uwezo kwanini uzae kama kuku? Kulaaaleki!
4. Ukishafanikiwa kuyamudu yooote hayo hapo juu, usisahau kuwa duniani kuna wanaume wenzako. Tafuta muda wa kukutana na wanaume wenzako uongeze ujuzi na maarifa ya kuuishi uanaume. Hapo valuu, biya na nyama choma vinaruhusiwa kusikiliza maongezi yenu. Ukishapiga haya makitu rudi kwa mwanamke wako kampe haki yake kulaaleki. Ikumbukwe kuwahi kurudi nyumbani si sifa ya mwanaume. Mwache Mwanamke wako awe na muda wa kuwa huru na kulea watoto.
5. Inapotokea kwa namna yoyote na kwa sababu yoyote ile necha ikashika kasi ukajikuta unaenda nje ya MWANAMKE WAKO, hakikisha unaenda kwa uangalifu. MWANAMKE WAKO asijue! Kosa kubwa sana akijua, na hii si sifa ya mwanaume. Huo ni uvulana. Na huko ufanye kwa UANGALIFU. Usijemletea maradhi MWANAMKE wako.
Kuna wakongwe wenzangu, WANAUME wenzangu kibao wako hapa jamvini wanaweza kuendeleza huo mlolongo.
Au kama vipi, leo ni ijumaa, twaweza panga mkakati wa kukutana ili tuzungumzie uanaume wetu.
SISI NDIO WANAUME BANA! Wanaume ndio SISI.
Kuna haja ya kufanya feasibility study ili kujua kama kutakuwa na returns zozote ambazo zitakuwa beneficial maana isije mtu ukaishia kufanya investment wakati hata uwezo wa ku-afford kununua generator pindi pale umeme unapokatika hauna
bht halafu nimesikia kama unaitwa kule kwenye jukwaa la katiba wewe nenda kule hapa tuachie sisi...lol
afadhali umeongezeka
habari ni njema kabisa mamii....nijaalie afya yako tafadhali
jamaa wamejigamba na uanamme wao sasa tena wanaanza kulia lia wakiogopa kodi!!!
Kwa mujibu wa TRA mahari ni all taxes exempted....
Kwa mujibu wa TRA mahari ni all taxes exempted....
mwenzangu mi nawachabo tu maana sitaki kuongea na wanaume hovyooo (source bishanga).
Biashara gani ya ununuzi isiyotozwa kodi? Hapo kuna walakini
kifungu gani kaangu na cha sheria nambari gani na ya mwaka gani?
na kwani sheria za TRA ni ufunuo wa Mungu?
Mhh aisee namba tisa vere verenaongeza na mimi hapa....
6.MWANAUME kuheshimiwa na kukubaliwa na wanaume wenzako ni muhimu kama ilivyo umuhimu
wa 'dhamana' unapoenda benki kukopa,kwani mambo yakiku chachia watakaokusaidia mostly ni wanaume wenzio
so sifa kwa kina mama tafuta lakini 'heshima' kwa wanaume wenzio usivunje...
7.Jua 'limitations zako ' kwa kila unachokifanya iwe 'kukimbiza wanawake' kunywa pombe na kadhalika
hakuna mjanja wa kila kitu,jua mwisho wa ujanja wako,ujiepushe na 'mitego' ya wajanja zaidi yako..
8. Unaposifiwa sana 'stuka' baadhi ya sifa ni 'mitego lol
9.Usimuamini mwanamke kwa asilimia 100 hata mama yako mzazi....lakini wapende na kuwaheshimu wanawake na haki zao uwape..
10. tofautisha mambo ya 'msingi' na ya 'ziada' katika maisha yako....l.
ya msingi kwanza,ya ziada ndo yanafuata....
Hapa ni mmu bht, ila mada imekaa ki chit chat, lol.hahahaaaa lol....bi dada umenichekesha
ongea na sisi basi hao wapotezee (hivi hapa si ni chit chat?...kwamba waweza sema tu chochote)
Hapa ni mmu bht, ila mada imekaa ki chit chat, lol.