Sisi handsome boys tunakwama wapi?

Sisi handsome boys tunakwama wapi?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
 
Kama ilivyo kwa mwanamke mzuri ukiwa nae ni kasheshe anaweza kuwa cha ote(sio wote) basi ndo hivyo pia kwa upande mwingine jinsi wanawake wenye hekima na busara wanavyowachukulia wanaume wazuri kua vya wote( sio wote) .
Na hiyo ndio sababu inayopelekea kupata wanawake wa hovyo wasio na directions.. Ila kuwa na subira utapata perfect match wako utafurahia maisha..
 
Tatuta hela... Achana na U Handsome..

UHandsome HAULIPI BILLS...

TAFUTA HELA
TAFUTA HELA
TAFUTA HELA
TAFUTA HELA

"Ukiwa na hela Vingine utaongezewa AUtomatically""
 
Swali:

Umetumia Vigezo Gani Hadi Ukajigundua Wewe Ni Handsome??.

Majibu Tafadhari!!.
 
Well said
Kama ilivyo kwa mwanamke mzuri ukiwa nae ni kasheshe anaweza kuwa cha ote(sio wote) basi ndo hivyo pia kwa upande mwingine jinsi wanawake wenye hekima na busara wanavyowachukulia wanaume wazuri kua vya wote( sio wote) .
Na hiyo ndio sababu inayopelekea kupata wanawake wa hovyo wasio na directions.. Ila kuwa na subira utapata perfect match wako utafurahia maisha..
 
Nashindwa kuelewa kuhusu ili jinamizi linalotukumba sisi ma handsome boys maana tunaongoza kudate na wanawake vimeo wasiokuwa na mvuto kabisa sijui tunakwama wapi aisee!inabidi tuitishe kikao cha dharura kama walichoitisha mabaharia
Me unajisifia wewe handsome hakuna kitu hapo
 
Aisee nakubaliana nawewe Ariff..inabidi tuite kikao Tujadili hili.
 
Kusema ukweli ukiwa hb..napo ni mateso tu..mana mademu wabovu wanatutongoza kila uchao..na zaidi ukiwakubalia ili ule mzigo..aiseee uasumbufu na vinganganizi hatari.

Shida uwe na hela sasa..hapo hadi kwa mgaga watakuendea.

Mi sikuhizi nawa kata ngabe juu kwa juu sitaki kabisa ma zoea nao..kwanza mwakani na mpango wa kuoa.
 
kwa wasiojua definition ya hb basi waniangalie mimi
30085691_421780851600792_1954873498853703680_n.jpeg
 
Back
Top Bottom