Sirudii tena

Sirudii tena

pureman2

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,491
Reaction score
2,563
Wakuu hope mko fine.

Aisee sitakaa nirudie Tena. Ngoja niwape japo Kwa ufupi kilichonisibu. Ni mwezi sasa umepita. Nilipata safari ya kikazi Dodoma. Katika harakati za kitaa nikapita lounge Moja kujireflesh baada ya kuwa na siku ngumu kidogo.

Pale nikahudumiwa na dada mmoja mashalaah, umbo namba nane , miguu ya bia, Ila alikua mtulivu sana. Kwa kutumia intelejensia ya kitaa nikabaini huyu pia atakuwa mgeni pale, sikufanya ajizi baada ya huduma nikamuita nikaomba bili yangu . Ikasoma elfu kadhaa, nikalipa then kwenye risiti ya malipo nikaandika namba yangu na kumpatia huku nikimuachia change kama buku 7 na kumwambia aunge bandle na anitafute.

Mimi nikaendelea na mishe zangu. Mida ya saa 4 usiku akanicheck. Tuwekana sawa na kumuomba aje hotel nilipofikia. Mida ya saa 5 akanicheck, nilikuona una usafiri private kama hutojali njoo unifuate. Nikajibu asijali nitakuwa hapo baada ya dk kadhaa.

To make the story short, nilimwamini Kwa maneno na kipimo cha HIV test alichokua amekipiga picha. Alikua amefanya test sio zaidi ya week. Wakuu nikajilipua, nikamnyandua pekupeku. Bidada alikua mtamu, no smell in papuchi, in short alikua neat sana.

Kimbembe kikaanza siku 3 baada ya mechi miwasho hainiishi sehemu za siri, baadae kucheck ngozi ya mkuyenye imeota ukurutu, nikajua mamake yule mwanga keshaniingiza king. Nikajisalimisha hospitali nikatibiwa.

Ni mwezi Sasa, vipimo vya HIV still ni negative. Na muwasho wa fungus na UTI nao umeisha. Namshukuru Mungu kwa kunisaidia katika hilo.

Maamuzi yangu, sitokuja tena kumnyandua demu peku Kwa vigezo cheap kama nilivyovitumia. Mademu ni wazuri ila papuchi zimebeba magonjwa mengi sana.

Tuendelee kuchukua hatua. Asomaye na afahamu.
 
Ngoja tukuulize, ulikuwa na muda gani hujafanya mapenzi kabla ya kukutana naye?

Maana nyege zina maajabu sana. Zina ushawishi mkubwa. Kila demu utamuona mzuri na upo tayari kufanya chochote.

Pole sana.
 
Wakuu hope mko fine.
Aisee sitakaa nirudie Tena. Ngoja niwape japo Kwa ufupi kilichonisibu. Ni mwezi sasa umepita. Nilipata safari ya kikazi Dodoma. Katika harakati za kitaa nikapita lounge Moja kujireflesh baada ya kuwa na siku ngumu kidogo. Pale nikahudumiwa na dada mmoja mashalaah, umbo namba nane , niguu ya bia , Ila alikua mtulivu sana. Kwa kutumia intelejensia ya kitaa
Na ujanja wako wote, vidato vyote, Law school yote bado unaamini condom ni kwa ajili ya HIV na mimba pekee, na kwenye ukoo bado wanakuita mwanasheria wetu? Kazi ipo!!!
 
Ngoja tukuulize, ulikuwa na muda gani hujafanya mapenzi kabla ya kukutana naye?

Maana nyege zina maajabu sana. Zina ushawishi mkubwa. Kila demu utamuona mzuri na upo tayari kufanya chochote.

Pole sana.
Of course kibuyu kilikuwa kimejaa
 
Na ujanja wako wote, vidato vyote, Law school yote bado unaamini condom ni kwa ajili ya HIV na mimba pekee, na kwenye ukoo bado wanakuita mwanasherai wetu? kazi ipo!!!
Kihukumu hakusaidii chochote , tukio nimelileta ili mmoja wetu asirudie kosa nililolifanya
 
Back
Top Bottom