Ni mazingira gani hatari uliyowahi kutongoza au kutongozwa

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyo onekana.

Ni yapi mazingira ya hatari mwanaume uliyowahi kumtongoza mwanamke na wanawake watiririke ni mazingira gani ya hatari uliyowahi kutongozwa na mwanaume mpaka ukaona hapa kweli ni hatari

Mimi ilikua hivi

1: Mtoto wa mjeda nyumbani kwa mjeda mwenyewe:

Kuna binti mmoja nilikua nimemuelewa mtoto wa mjeda na ni geti kali haswa katika harakati za kumfukuzia nikaona mwanaume acha nijitoe muhanga, Katisha kitaa kwao subiria atoke getini wapi mwamba nikaona acha ni kagonge geti kujakafungua ni mtoto huyu hapa nikazama humo ndani kwao nikalifunga geti piga swaga mtoto aelewi nikamvuta na kumkumbatia kwa nguvu kugeuka hivi kidogo naona mjeda anatoka mida ya saa nae hivi kavalia gwanda zake sitasahau nilirushwa kichura , biringika na kumwagiwa maji mpaka basi, baadae nikaanikwa juani huku naisujudia ardhi ,nilikuja mchukia sana pamoja na binti yake japo nataka nije kulipa kisasi siku moja

2: Mwimba kwaya:

Wakati ibada inaendelea na kwaya inapiga pambio mwamba nikajivuta chapu huku nikijifanya wimbo umeniingia, sogea mpaka usawa aliosimama binti huku akitumbuiza chapu nikamshika mkono nikaanza utekenya kijanja binti anajivuta kistepu huku ananikazia macho ni mwachie, maneno ya wimbo yanaanza mpotea, kumbe mchungaji alikua anatuona wazee ibada ile inakaribia kuisha nikapigwa stop nibaki baadae nikaenda ofisi ya mchungaji nakuta binti kabananishwa hapo tukachanganywa pamoja na kuanza kupewa mawaiza na maombezi juu. Mwisho wa siku binti alikuja nielewa ila ndiyo hivyo nilipiga kidogo na sikurudia tena cz hakua romantic kivile

3: Lecture wa somo la Econometrics chuo kimoja huko dodoma jina kapuni

Ndugu nikiwa chuoni nilikua doja sana mtu na mishe zangu za kusaka mkwanja , class natimba kama mwizi na kusepa kama ninja.

Huyu lecture alikua bidada mwili umbo namba nane, kajaliwa furushi huko nyuma, nywele kama zote na rangi ya ngozi nzuri kishezi anapenda valia vimini guu ilo usiseme nikawa nawahi nakaa mbele kabisa usawa wake kila akija ananiona hapo, namkazia macho mpaka anakosa confidence nikiona anaanza kupoteza muelekeo mwamba nasepa pindi simalizi na ng'oa zangu,

Siku moja akatoa test 1. nikajisemea siifanyi acha nichili nitaenda mwomba private ili anipe test nyingine private , mwamba sikutimba chuo nikapigwa incomplete moja hiyo nikajisemea huu ndiyo muda sasa wa kwenda kutongozana nae mzee nilimkazia yule lecture macho ofisini kwake yupo mwenyewe mwomba anipe test hataki bembeleza hataki kadiri nikimbembeleza anipe test naona analegea nikaamisha mada chapu na kumsifia alivyo umbika hapo hapo nikashika nywele zake asee sikuamini aliniambia tuu ndiyo maana hujafanya test yangu ngoja tuone utatokaje akanitimua kwa ukali sana huku akitishia anapigia maaskari kwamba nimemletea vuruguwaje waniarest, ila sikukata tamaa wala sikuingia upepo nikamuaga kistaarabu sana na kusepa zangu

Mwisho wa siku najipeleka tena vizia yuko mwenyewe nikaanza mpiga swaga hapo siyo kuomba test tena ila nilikujapewa test tukiwa nae lodge wakuu tena ya kumsugua haswa , nilipiga mzigo vibaya mno ila aliniambia lazima ukojoe mara saba leo ndiyo nitakusamehe nikupe test nikapiga mzigo mpaka nikawa hoi kojoa round nne nikamwambia mtoto mzuri utaniua sasa nipe maksi zangu alicheka akaniambia kesho uje tena hapa nitakupa mwisho wasiku mwamba nilipewa test ila maksi zangu aliweka sifuri kwenye ile karatasi sijui alikua na maana gani,

Japo nikicheki kwenye system naona kajaza nyingi zaidi, nakumbuka tuu somo lake pamoja na masomo yote ya malecture waliokua marafiki zake nilipigwa A+ sijui hata niliipataje pataje zile A+,

Mpaka sasa nimemaliza chuo ila bado nikisafiri angaizo naenda kuisugua na mihela ananihonga ya kutosha mpaka nawapunguzia madem zangu. japo nataka nije nizae nae angalau katoto kakumbukumbu maana bidada hajaolewa yupo yupo tuu.

Ndugu je wewe ni mazingira gani ya hatari uliwahi kumtongoza mwanamke au mwanamke ni mazingira gani ya hatari uliwahi kutongozwa na mwanaume?

Tiririkeni wazee.
 
Mm kuna lecture wangu mmoja hv alikua ni mdada age around 30's hv aisee alikua kaumbika ile mbaya alikua anatupigsha somo la Bznec Communication na mm ndio nilikuwa CR . Madam aliniisoma kisaikolojia akajua kbs Nina yege naye kea muda mrefu maana nilikua nakaa mbele namkazia macho Mwanzo mwsho mpk nalegea km fala na yy Mwanzo mwsho hakuacha kunikazia macho

Ila ndio hvyo nilikua somo zege maana kuna muda alikua aiiingia class anakuwa mkali nkasema hp nikijaribu tu kumtupia nyavu naweza nkaaibika

Nkaamkosa kwa style hyo jmn, Ila I promise mpk Leo nitaja mtafuta tu nimlambe kalio lake lile, sijakata tamaa kwakweli
 
Mm kuna lecture wangu mmoja hv alikua ni mdada age around 30's hv aisee alikua kaumbika ile mbaya alikua anatupigsha somo la Bznec Communication na mm ndio nilikuwa CR . Madam aliniisoma kisaikolojia akajua kbs Nina yege naye kea muda mrefu maana nilikua nakaa mbele namkazia macho Mwanzo mwsho mpk nalegea km fala na yy Mwanzo mwsho hakuacha kunikazia macho

Ila ndio hvyo nilikua somo zege maana kuna muda alikua aiiingia class anakuwa mkali nkasema hp nikijaribu tu kumtupia nyavu naweza nkaaibika

Nkaamkosa kwa style hyo jmn, Ila I promise mpk Leo nitaja mtafuta tu nimlambe kalio lake lile, sijakata tamaa kwakweli
Malecture wa kike wanakua wa moto sana ukiingia vibaya au usipojiamini.

Wale ni wanawake na wanahisia kama wanawake wengine ila wewe ni kujiamini tuu na akikuingiza upepo usiingie kaza ila uwe mstaarabu na usiwe na maneno mengi unachomoa mzigo kirahisi ila lazima uteseke kidogo
 
No 1 na 2 najitahidi niziamini but akili yangu inagoma kabisa inaniambia ni chai, ni vizuri mkawa wa kweli kwenye visa vyenu mnavyoleta humu jukwaani mnasababisha watu wawe na ujasiri wa mambo ya uongo mnaowamezesha
Wewe amini ni chai sawa sawa na imani yako ila ukweli ni kwamba ndiyo harakati hatari zaidi za kiume nilizopitia ili kupata nyapu,

Kumbuka nyapu ni tamu ila wakati mwingine haipoozi kumbukizi mbaya na hatari kama hizi na usipo kua makini wakati mwingine unaweza ukafa kizembe kwa kosa la kufukuzia nyapu
 
Back
Top Bottom