Kule tunaenda wabishi tu, watatukana wee nawe unakomaa tu. Nyie walaini walaini kina heaven on earth, Bujibuji, Sista humu panawafaa kama ambavyo tayari pameshawafaa haha. Dada angu Jawilat twendage....
LB7 ni watu wa hovyo kabisa..wanakupeleka kwenye kona ambayo utakasirika na utukane au useme kitu uvunje sheria za JF...kule kuna watu wako kazini sio ninyi huku mnaenjoy kuwa hapa kule watu wanalipwa kwa hii kazi ya kufitinisha wenzao
Naona wameshaanza kuingia na kaunda suti zao.
Sina hamu....
Yaani visiku vihache tu jukwaani nikakutana na kiziba mdomo.
Ni ku like tu ndiko walikoniachia. Hamna kukoment wala kuanzisha thread.
Bora nijirudie zangu kwenye jukwaa la Mtambuzi niendelee kula minofu ya mbuzi kama kawaida.
porojo tupu.....! mmeshindwa hoja mnaleta viroja..! mburura mkubwa we...!
Ha ha haaaaaa Heaven on Earth na Sista mkija kule muwe mnasema mshikwe.mkono jamani kule watu wamechefukwa na roho ila wengine sie bila kuparutana kule usingizi hauji then unakuja huku ku hug na kina Sista unajipatia kaharufu ka kulalia huyooooo kumbonji!!!!!!
Ila njooni kule seriously kuna shule na discussion za ukweli sana the best weapon ni kujua perspective ya maoni yako ili usiyumbishwe baada ya muda mbona unakomaa tu yeyote alimradi una yard stick!!!!!!!
Halafu we Sista wewe masuala ya kuniambia nikutumie nauli halafu wiki nzima hauko hewani maana yake nini?????!!!!!Ngoja nikakuwekee uzi kule jukwaa la siasa ndio utajua mjini ni nguvu kazi ama nguvu ya akili!!!!!!
Aaaah kwenye ile ishu ya Zitto me mwenyewe nlikumind...ulikuwa unatoa facts za ajabu kweli...!
hahahaha mie kule naogopa kukomenti hata kama nimependezwa na point fulani
Sina hamu....
Yaani visiku vihache tu jukwaani nikakutana na kiziba mdomo.
Ni ku like tu ndiko walikoniachia. Hamna kukoment wala kuanzisha thread.
Bora nijirudie zangu kwenye jukwaa la Mtambuzi niendelee kula minofu ya mbuzi kama kawaida.
hahaa unaikumbuka hiyo siku watu kama 7 zinanishambulia mimi...........
nashangaa nilitoka salama maana nilijua watanilima BAN that day
Mifano yako bana.....hatari sana
Utajuaje team bazazi yuko kazini? Ngoja aje na kakakiiza ndo team yao na kibazaz kidogo Mentor