Sirudi tena Jukwaa la Siasa

Sirudi tena Jukwaa la Siasa

Hongera kwa maamuzi mepesi ya kurudi,tunakuandalia NOAH kukukaribisha rasmi.
 
Mi kule naingia kwa machale stress tupu haukawii kukosanaa na kina Matola
hivi hawa wanaofungia members wasitoe maoni yao wamejiunga lini?? mbona ni wa juzijuzi tu halafu ndio wanjifanya wajuaji?? me naona kazi imewashinda?
mfano huyu matola si ni wa juzi tu loh majanga!!
 
Last edited by a moderator:
Sina hamu....
Yaani visiku vihache tu jukwaani nikakutana na kiziba mdomo.
Ni ku like tu ndiko walikoniachia. Hamna kukoment wala kuanzisha thread.
Bora nijirudie zangu kwenye jukwaa la Mtambuzi niendelee kula minofu ya mbuzi kama kawaida.

tena afadhali wewe bujibuji unaonekana ni wa siku nyingi kidogo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mara ya kwanza kuingia jukwaa la siasa Ritz alinifanya nikaigwa ban la siku 30...Ila kuna watu wanakera kama akina lizabon,mingoi,simiyu yetu,Lukosi na wengine wengi dah yan kero tupu ila tunakomaa nao tu!

Hao wanalipwa buku 7 kwa siku ni Vijana wa UVCCM Lumumba ulikua huwajui naona.
 
Bujibuji karibu,kule sihasi unapaswa kuwa makini....
 
Last edited by a moderator:
hivi hawa wanaofungia members wasitoe maoni yao wamejiunga lini?? mbona ni wa juzijuzi tu halafu ndio wanjifanya wajuaji?? me naona kazi imewashinda?
mfano huyu matola si ni wa juzi tu loh majanga!!

Unawajua kina mods weyee ongea mbofu mbofu utaonana nao laivu
 
Me naanziaga kule tunabishana weeee nikichoka nakuja huku kusikiliza vituko.
 
Mie kule naenda kwa step nimeanza step ya kwanza najongea taratiibu..kuna watu kule kama simiyu yetu na msalani dah hapana nashindwa kuwatafsiri kabisa.
 
hivi hawa wanaofungia members wasitoe maoni yao wamejiunga lini?? mbona ni wa juzijuzi tu halafu ndio wanjifanya wajuaji?? me naona kazi imewashinda?
mfano huyu matola si ni wa juzi tu loh majanga!!

Wewe dogo Senior member unajifanya unamjuwa Matola? Really?
 
Kule ukitaka pawe pazuri isifie Chadema na uiponde Ccm na umtukane Zito mbona utapendekaaaa

We kweli unayaelewa maisha ya jukwaa la siasa, yani kule unatukanwa matusi ya nguoni hasa,kisa umetowa mawazo tofauti.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom