Sirudi tena Jukwaa la Siasa

Sirudi tena Jukwaa la Siasa

inahitaji ujitoe ufahamu ili uwe mchangiaji jukwaa la siasa, mimi pamoja na kuijua siasa na kuwa na uwezo mkubwa kisiasa kuliko kitu chochote kule kulinishinda siku za mwanzo tu nilipoanza kushiriki, kwanza kule hakuna kushindana kwa hoja bali ni ujinga ujinga tu,nilipojaribu kuwa naanzisha mada zote zilipigwa chini pasipo sababu ya msingi huku mods wakiacha mada nyingine za kijinga kabisa,sijutii kueleza haya, nikaona nikimbie na kuhamia huku.

mshinga upo mkuu! Sikuon sku hizi vp
 
kule kuna wafia nchi ha ha ha a a h ha wanaongea hadi wanatoka povu siasa noma
 
hahahaa mie huwa wanifurahisha sana.....kuna li jinga fulani hivi lakin nitakuja tu huko

najua hata wakinizingua you will be there

Aaaah kwenye ile ishu ya Zitto me mwenyewe nlikumind...ulikuwa unatoa facts za ajabu kweli...!
 
washawasha naye tuko naye kule kazi kutuchafulia tu threads za makamanda na gamba lake!!
 
Lile jukwaa Ni Hatari..Nilipigwa ban siku 7 tena kwa kumjibu aliye nitukana daah!!..ila poa Bujibuji

Mimi bado nitakuwa kotekote 🙂
 
Last edited by a moderator:
Kule unatakiwa kuingia kwa kunyata kama una bomu lako unaliachia halafu unatoka kwa kunyata. Ukirudi kesho yake utakuta umeambiwa ukachukue buku7, au mbulula au msukule au ..........
 
Mie kule naenda kwa step nimeanza step ya kwanza najongea taratiibu..kuna watu kule kama simiyu yetu na msalani dah hapana nashindwa kuwatafsiri kabisa.

ni harufu tu,....
 
Mkuu alikuwepo msumbufu mmoja HAMY-D siku hizi simuoni tena kule..alikuwa anatuvuruga kweli..kila mara ni yeye na Dr. huyu naye alinisababishia ban la siku 7.....ila hapa mmu ukipigwa ban basi wewe kilaza mkubwa!

lara 1
 
buku 7 fc usipokuwa nao makini utakula ban wakati wao wanapeta

LB7 ni watu wa hovyo kabisa..wanakupeleka kwenye kona ambayo utakasirika na utukane au useme kitu uvunje sheria za JF...kule kuna watu wako kazini sio ninyi huku mnaenjoy kuwa hapa kule watu wanalipwa kwa hii kazi ya kufitinisha wenzao
 
Back
Top Bottom