Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,494
- 100,897
Hahahahhaa nshakula BAN mbili but aaaagh naona ngozi imekomaa sasa hata haichuniki.....natwanga kotekote
Mkuu mara ya kwanza kuingia jukwaa la siasa Ritz alinifanya nikaigwa ban la siku 30...Ila kuna watu wanakera kama akina lizabon,mingoi,simiyu yetu,Lukosi na wengine wengi dah yan kero tupu ila tunakomaa nao tu!
inahitaji ujitoe ufahamu ili uwe mchangiaji jukwaa la siasa, mimi pamoja na kuijua siasa na kuwa na uwezo mkubwa kisiasa kuliko kitu chochote kule kulinishinda siku za mwanzo tu nilipoanza kushiriki, kwanza kule hakuna kushindana kwa hoja bali ni ujinga ujinga tu,nilipojaribu kuwa naanzisha mada zote zilipigwa chini pasipo sababu ya msingi huku mods wakiacha mada nyingine za kijinga kabisa,sijutii kueleza haya, nikaona nikimbie na kuhamia huku.
wanawake walioolewa kumbe hulala na matunda,, ila hujafafanua ni pera, embe, pashen au chungwa.Yaani bora mtu upigwe ban usiingie kabisa JF kuliko kuzuiwa ku comment. Inauma sana. Yaani ni sawa na ulale na mkeo kitanda kimoja wote mkiwa watupu halafu akunyime tunda. Pole sana Bujibuji
Mbona michango yako ni mizuri tu karibu kila jukwaa? Ni jinga gani hilo lilikuzinguwa?
Ushauri mzuriHamia Jukwaa la Great Thinkers
Hahahahaha naikumbuka ile siku Mama Kijacho.
Hamia Jukwaa la Great Thinkers
Pole sana mkuu, mimi ngoja nijiimarishe kidogo nisome upepo hata kule jukwa ala Siasa nitaenda tu..
Mie kule kuna siku nilitolewa mkuku mku lol....
Wewe dogo Senior member unajifanya unamjuwa Matola? Really?