Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,762
Wakati upande mmoja ukisema ni jambazi, na kwamba wakati anakufa alikuwa anasema Allah U Akbar. kama inavyosemwa kwenye video hii:-
Upande Mwingine wanasema, he was innocent student.
Na nyingine ni hii:-
The issue is, nani Mkweli hapo?
Alafu kuna Ushahidi gari wa kuthibitisha utakwaji wa maneno ''Allah u Akbar'',
Je, Kamanda anataka kutuaminisha nini juu ya kukumbuka kwake kwa maneno hayo tu ''Allah u Akbar'' pekee wakati wa kifo cha marehemu?
Ni matumaini yangu kuwa Jumuia za Kiislamu zina neno la kusema juu ya ushirikishwaji huo wa maneno ya Allah pasipo kuwepo kwa ushahidi wa kutosha.
Sitetei mtu, ila natumia haki yangu kikatiba kujieleza.
Innalillah wainnalillah Rajiun(RIP).