Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,022
- 24,979
Zamani sana mwaka 1977 Tanzania ilikumbwa na kesi nzito ya Ujasusi dhid ya mtu anaitwa Zangira. Wakati huo Pius Msekwa alikuwa Katibu Mtendaji wa CCM kabla cheo cha Katibu Mkuu kuundwa; katika moja ya ziara zake alipita shuleni kwetu, na mwanafunzi mmoja alimuuliza swali kwa nini serikali hailindi siri zake hadi kuibiwa na watu kama Zangira.
Msekwa alijibu kuwa "kwanza, siri ni nini, na kwa nini ni siri na ni siri kwa nani" Kamalizia kuwa Serikali ya Tanzania haina siri za kuwaficha wanachi wake
Msekwa alijibu kuwa "kwanza, siri ni nini, na kwa nini ni siri na ni siri kwa nani" Kamalizia kuwa Serikali ya Tanzania haina siri za kuwaficha wanachi wake