- Thread starter
- #81
Hiyo ndio siri za nchi?Kubwa ni Mila,Tamaduni na Destuli zetu hivi ndivyo vinavyopaswa kulindwa kwa gharama ya Damu vijana Sasa ivi wanataka uzungu mwishowe nchi itakuwa ya mashoga na wasagaji.
Hiyo ndio siri za nchi?Kubwa ni Mila,Tamaduni na Destuli zetu hivi ndivyo vinavyopaswa kulindwa kwa gharama ya Damu vijana Sasa ivi wanataka uzungu mwishowe nchi itakuwa ya mashoga na wasagaji.
Ni mambo ya hovyo ambayo yakiwekwa hadharani jela zitajaaKwa anayefahamu, hizo SIRI za NCHI huwa ni mambo ya aina gani?
Kuanzia sasa nitakuwa natumia kionjo hiki 🔥.Hii ni ngori , itumike ramsi badala ya de Mbusii . Aine loose Nut de Nyabumbu
Masuala ya faragha sana hayo na sio ya kuyazungumzia hadharani alafu ni vitu personal na very minor.Mmh! Hayo mbona ni ya kawaida sana na hakuna sababu ya kuyazungumzia hadharani - vinginevyo jamii itakuona punguani.
Kwanini taarifa za afya ya kiongozi ziwe siri wakati anatibiwa kwa pesa ya umma. Afya ya kiongozi ikiteteleka na kupelekea kufanya maamuzi ya kuigharaimu nchi nani atawajibika? Afya ya kiongozi kama tunataka iwe siri basi ajitibu kwa gharama zake mwenyewe. As long as anatibiwa kwa gharama za umma, umma una haki ya kujua anaumwa niniMfano wewe ni daktari bingwa ambae unaweza kuhudumia viongozi wakuu kadhaa wa taifa na unajua taarifa kadhaa juu ya afya zao na zinaweza kutumika ndani na nje ya nchi Kwa hira, hiyo ni Siri tayari vilevile katika ngazi ya usalama mnaweza mkawa mnachunguza sehemu Fulani na akatokea mmoja wenu akawataarifu mnaowachunguza hiyo tayari ni dosari aidha kiusalama,kiuchumi n.k.
Swala la utoaji Siri kitaifa sio lakubeza isipokuwa tu linatafsiriwa tofauti tu.
Upigaji wa viongozi, kuficha hati ya muungano ili raia tusijue Nyerere na Karume walikubaliana nini exactly,, waliompiga risasi Lissu, magonjwa ya kiafya ya viongozi(umma una haki ya kujua viongozi wanaumwa nini kwa sababu wanatibiwa kwa pesa ya umma), sababu hasa ya kuwa ni lazima mwenge uzungushwe nchi nzima(za chini ya kapeti zinasema ni makubaliano ya zindiko ambalo nchi ilifanya uko bagamoyo wakati wa uongozi wa nyerere), identities za wasiojulikana n.kKwa anayefahamu, hizo SIRI za NCHI huwa ni mambo ya aina gani?
Unaficha afya yako ili iweje kwa mfano mfano una ukimwi unaficha ili iweje ? Uambikize watu?Mfano wewe ni daktari bingwa ambae unaweza kuhudumia viongozi wakuu kadhaa wa taifa na unajua taarifa kadhaa juu ya afya zao na zinaweza kutumika ndani na nje ya nchi Kwa hira, hiyo ni Siri tayari vilevile katika ngazi ya usalama mnaweza mkawa mnachunguza sehemu Fulani na akatokea mmoja wenu akawataarifu mnaowachunguza hiyo tayari ni dosari aidha kiusalama,kiuchumi n.k.
Swala la utoaji Siri kitaifa sio lakubeza isipokuwa tu linatafsiriwa tofauti tu.
Hutaki unaachaPunguza kutumia akili za kwenye movie kwenye real life
Hivi ugonjwa ni Siri?Masuala ya ulinzi na usalama wa taifa , mikakati ya kijeshi, idadi halisi ya silaha, mipango ya kukabiliana na uvamizi.
Suala lingine ninalofahamu ni shughuli za kijasusi, mbinu za upelelezi, mawasiliano ya siri kati ya mashirika ya usalama.
Nb: ni kwa nchi za wenzetu tu ndiyo naelewa hayo mambo huwa ni siri.
Ndiyo. Ni siri baina ya Dkt na Mgonjwa wake. Wewe au public itaishia kujua tu (na sio lazima) kwamba fulani ana changamoto ya kiafya basi. Lakini kwamba eti anaumwa hiki na kile inabaki ni siri ya Daktari.Hivi ugonjwa ni Siri?
Hivi unafahamu kwamba adui yako akifahamu kwa undani udhaifu wako anaweza kuutumia udhaifu wako kukunyanyasa?Unaficha afya yako ili iweje kwa mfano mfano una ukimwi unaficha ili iweje ? Uambikize watu?
Ni kama zile alizovujisha Edward Snowden juu ya Taifa la USA. Kwamba taifa la Marekani lilikuwa linatumia njia za siri kukusanya taarifa za kiintelijensia kupitia kudukua mawasiliano ya viongozi wa nchi rafiki kama France na baadhi ya viongozi wa umoja wa Ulaya pamoja na Ujerumani.Kwa anayefahamu, hizo SIRI za NCHI huwa ni mambo ya aina gani?
Raia akijua walichokubaliana halafu atafanya nini? Jambo hilo linaweza kutumika na" wahuni" kuzua Taharuki.Upigaji wa viongozi, kuficha hati ya muungano ili raia tusijue Nyerere na Karume walikubaliana nini exactly,,
Mbona TAL mwenyewe alishasema? Unataka tena uambiweje?waliompiga risasi Lissu,
Suala la Afya ya viongozi esp. Viongozi wakuu lipo Kikatiba zaidi. Haiingii akilini eti kila kiongozi akiumwa basi liwekwe Bango kwamba kiongozi fulani leo anaumwa malaria, fulani anaharisha, fulani ana mafua....n.k. Ulimwengu utatushangaa.magonjwa ya kiafya ya viongozi(umma una haki ya kujua viongozi wanaumwa nini kwa sababu wanatibiwa kwa pesa ya umma),
Hilo ni Adhimisho la kiTaifa(nchi) kama inavyokuwa adhimisho la Kidini e.g. mfungo wa Ramadhani , Kwaresima n.k. na huhitimishwa kwa sherehe. Tukio la Kuzungushwa kwa mwenge sio la lazima kiviile pia na mtu halazimishwi kushiriki.sababu hasa ya kuwa ni lazima mwenge uzungushwe nchi nzima(za chini ya kapeti zinasema ni makubaliano ya zindiko ambalo nchi ilifanya uko bagamoyo wakati wa uongozi wa nyerere), identities za wasiojulikana n.k
Mfano connection za wakubwa...😆Kwa anayefahamu, hizo SIRI za NCHI huwa ni mambo ya aina gani?
🤣Ni mambo ya hovyo ambayo yakiwekwa hadharani jela zitajaa
Pole sana binti 🤣Mfano connection za wakubwa...😆
1.Sirikali inasema mikataba ni siri lakini ukija kuangalia hiyo mikataba ni ya UTAPELI na UFISADI ambayo ni mibaya kuliko hata waliyosaini kina CHIFU MANGUNGO WA MSOVERO.Kwa anayefahamu, hizo SIRI za NCHI huwa ni mambo ya aina gani?
Pole ya nini...Pole sana binti 🤣