Siri za nchi ni zipi (mambo ya aina gani)

Siri za nchi ni zipi (mambo ya aina gani)

Mission za kifara/kifala walizofanya zikabuma, mission za siri walizofanya dhidi ya fulani/taifa fulani zikafanikiwa lkn hazitakiwi kujulikana kwa maslahi ya waliofanya mpaka muda mrefu upite.

Mikataba ya siri baina ya wanasiasa na wapiga deals wa mataifa ya nje/ndani, siri za mikataba ya ushirikiano wa kiukanda baina ya mataifa yasiyo pendana/mvutano wa kimaslahi kisiasa/kiuchumi/kijeshi/kijamii mfano ushirika wa Tanzania na Iran/North korea/Russia/China hautakiwi kujulikana na mataifa yasiyofungamana na siasa za ukanda huo.

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo wanasiasa wenu/wetu hawapendi yawe wazi.
 
Siri ni kitu ambacho wewe upaswi na utakiwi kujua.

Ata mume wako asipotaka ujue kitu hiyo ni siri

Nchi kupitia serikali ina vitu haitaki raia wake wasio na makoromeo wajue au nchi nyingine za jirani au za mbali
Kama yapi?

Labda walipoficha vifaru au vipi?

Au palipo na chamber za kutesea watu?

Au mambo yapi?

Maana kwasasa kiuhalisia TZ, haiwezi kushinda vita hata tukivamiwa na Malawi.
 
Back
Top Bottom