Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,561
- 4,541
Mara nyingi ni mambo(au taarifa) ambayo hayatakiwi (Ni marufuku) kuwekwa hadharani (public) na yamezuiliwa kutangazwa na yanatakiwa kubaki kwa wale wachache walioaminiwa au wahusika tu.Sijasema zitajwe.
Nataka kujua tu, ni mambo ya aina gani?