Siri za kambi EL zafichuka

Siri za kambi EL zafichuka

hata mimi naweza tengeneza kitu kama hiki
 
Mtaangaika sana na hakuna siri ya kwenye mitandao ya kijamii zaidi ya mazungumzo na kama mngekuwa mmezifuatilia conversation mngetulia tu.

Huku Safari ya Matumaini inaendelea, watapapalika lakini hawataweza!
 
Safi sana Matukuta na Bashe mnafanya kazi nzuri sana kumsaidia mzee....keep it makamanda, wengine bado wanasubiri sikukuu za CCM mwakani ili mkulu atoe tamko tena for sure it will be tooooooooooooooooooo late
 
Mkuu mbona kitu kiko wazi tu hapo au umejiandaa kuja kubisha tuu!!??Huyo Malanyingi Matukuta ndo anayejiita Junior Matukuta na jina lake limetokea kabisa hapo.Inaoinekana Bashe kamchuuza kijana wa watu.

Kaka wengine wetu tumesoma shule za kata enzi za mwalimu, tulifundishwa kuhoji kila inapowezekana...

Wewe simu yako huwa inadisplay jina lako na namba yako??? Labda ya kwangu kimeo....

Ila pia ukichunguza uzuri inaonekana ni group chat maana pale chini kuna "Uv Seif Mkiti tabora".... Ni wazi hiyo meseji haikutoka kwenye simu ya Matukuta au huyo Seif....
Kama huu ujumbe ni wa kweli basi Bashe atamjua kidudu mtu ni nani!!

Mwisho wa siku sijali sana maana sijawahi kupigia kura mtu wa CCM!!
 
Mtaangaika sana na hakuna siri ya kwenye mitandao ya kijamii zaidi ya mazungumzo na kama mngekuwa mmezifuatilia conservation mngetulia tu.

Huku Safari ya Matumaini inaendelea, watapapalika lakini hawataweza!

I never knew upo humu, pambaneni hadi mwisho hata kama si supporter wenu!!!
 
Hivi hii ishu ya hawa jamaa wa CCM na Lowasa ikoje, mbona kila siku matamko hayaishi kumhusu mzee??
 
I never knew upo humu, pambaneni hadi mwisho hata kama si supporter wenu!!!

Mkuu basi ukweli uko wazi..haka kajamaa kanajiita Matukuta huwa ni mtu wa kupenda kick sana na ni bingwa wa kujipendekeza na kujifanya yuko karibu na watu flani.Niliwahi kuwanaye huko FB kipindi hicho akiandika status tu anaweka picha kavaa kijani yao na kukopi viongozi na wabunge wa chama chao so naamini ni yeye ndo kaileta humu kwa akaunti mpya ambayo hii ni post yake ya kwanza ili aanze kujipendekeza kwa EL.Mchumia tumbo huyu anajitanabaisha kuwa na yeye i sehemu ya ufedhuli wanayoita matumaini
 
Mkuu mbona kitu kiko wazi tu hapo au umejiandaa kuja kubisha tuu!!??Huyo Malanyingi Matukuta ndo anayejiita Junior Matukuta na jina lake limetokea kabisa hapo.Inaoinekana Bashe kamchuuza kijana wa watu.

Mkuu yawezekana ni yeye ama si yeye maana hakuna umakini ktk kusajiri simu. Kuna namba moja nilikuta imebandikwa mahali karibu na usalama Oystebay, kuwa kama wataka kujiunga na freemasons piga namba hiyo. Nikafanya utafiti nikakuta mwenye namba hiyo anaitwa Freemasons January lkn utafit zaidi uligundua kuwa hilo si jina lake halisi. Hivyo hata hilo waweza kukuta si jina lake halisi

nimecheka eti na huyu dogo seif hamis guramali m/kiti wa uvccm tabora ameingia kwenye mkumbo wa mamvi, kweri ccm mizigo

Mtaangaika sana na hakuna siri ya kwenye mitandao ya kijamii zaidi ya mazungumzo na kama mngekuwa mmezifuatilia conservation mngetulia tu.

Huku Safari ya Matumaini inaendelea, watapapalika lakini hawataweza!
Matukuta Jr nadhani ujumbe wako umewafikia walengwa......kwa maoni yangu timu yenu inauafadhali kuliko timu zote ndani ya chama lenu chovu, tatizo ni kwamba sina imani na yeyote ndani ya CCM.
 
Last edited by a moderator:
Mtaangaika sana na hakuna siri ya kwenye mitandao ya kijamii zaidi ya mazungumzo na kama mngekuwa mmezifuatilia conservation mngetulia tu.

Huku Safari ya Matumaini inaendelea, watapapalika lakini hawataweza!

Kabisa safari ya mataini hakuna kurudi nyuma. Tunasonga mbele pamoja
 
Wamwandalia akutane na Mwenyeviti Chama nchi nzima kuanzia na Mbeya!

===>Tatizo la magamba akili zao ni fupi sana,wanasahau nyayo zao walizopita wakati wa kampeni za 2005,wameasisi mitandao sasa inawatokea puani
===>Hii ni sawa na kutungisha mimba kwa mama,pale inapoingilia ndipo inapotokea,kwa bahati mbaya sana itatokea kwa njia ya operesheni,maana yangu ni kwamba yale waliyoyaasisi 2005 ndio yanayotokea sasa hivi.
 
lowassa ni mchafu na anatumia pesa chafu kusaka madaraka

Kuna kikundi humu jf kimekuwa kanatetea kila kinachofanywa na ccm na mara zote huwa pamoja kutetea chochote. Nimekifuatilia kikundi hiki kwenye sakata la Lowassa wanagongana sana maana kila mmoja amekuwa na upande aidha wa Sitta, Membe au EL. Ule umoja wao wa propaganda za kuitetea ccm umevunjika maana kila mmoja na maslahi yake kwenye watu hao.
 
Hiyo namba inasoma ni ya Malanyingi Matukuta message inakwenda kwa Bashe....

Je huyo Malanyingi ndio Bashe?? Na je 0762 047686 ni namba ya Bashe???
Kama Malanyingi sio Bashe na hii sio namba ya Bashe....hiyo meseji ilifikaje kwa Matukuta?.?

Isije kuwa ni sanaa tu inaendelea kunogesha mpambano ndani chama lao!!!!

Acha maCCM wamalizane kwa hila na uzushi. Hiki chama cha majambazi kinaelekea kufa kifo kibaya sana. Mzee Laigwanani amewatia hofu na hawana la kumfanya, chama ni dhaifu na mwenyekiti ni dhaifu.

Yeyote asiye dhaifu amguse Mzee Edward Lowassa
 
Wallah watu mnaleta utani wa ukweli......sema suu!!!Kiongozi akitokea asiye dhaifu niite
 
lowassa ni mchafu na anatumia pesa chafu kusaka madaraka

Rais gani aliwahi kuingia madarakani kwenye nchi za Africa kwa kutumia pesa zake? Ni either pesa chafu ama pesa za wahisani amabazo mwisho wa siku zinaongeza madeni kwa taifa
 
Back
Top Bottom