Siri za kambi EL zafichuka

Siri za kambi EL zafichuka

Rais gani aliwahi kuingia madarakani kwenye nchi za Africa kwa kutumia pesa zake? Ni either pesa chafu ama pesa za wahisani amabazo mwisho wa siku zinaongeza madeni kwa taifa

Jakaya Kikwete alihongwa hadi SUTI na waarabu, eti ni tailor made suits,,,, kwa mujibu wa Wikileaks
 
ccm oyeeeeee............. ndugu watanzania ccm tunasisitiza umoja na mshikamano. sasa jiulize aya yanayotokea leo ndio umoja na mshikamano? au makundi na utengano?
 
Hiyo namba inasoma ni ya Malanyingi Matukuta message inakwenda kwa Bashe....

Je huyo Malanyingi ndio Bashe?? Na je 0762 047686 ni namba ya Bashe???
Kama Malanyingi sio Bashe na hii sio namba ya Bashe....hiyo meseji ilifikaje kwa Matukuta?.?

Isije kuwa ni sanaa tu inaendelea kunogesha mpambano ndani chama lao!!!!

ukiangalia vizuri sms ilitoka kwa huyo matukuta inaenda kwa bashe broo vip we mgeni na smartphones??
 
waste of time and money - kwanza sijalipia bili zangu za maji na umeme -
 
Mchumi wa halmashauri? Huyu ni mtumishi wa umma! Achunguzwe na kuchukuliwa hatua.
Mkuu MTAZAMO mbona unatoa hoja kama wewe siyo mtu wa jukwaa la siasa za Tanzania?.

Unataka achukuliwe hatua na nani wakati wachukua hatua ni kama yeye?. Hizo hatua zitakuwa kweli ni fair and firm?.

Huyu anafanya kama wengine wanavyofanya. Anachofanya ni muendelezo wa siasa za Tanzania.

Siasa za Tanzania siyo kama zilivyo kwenye makaratasi!.
 
Hizi mbio za urais zitawatoa roho bure hawa mafisadi.
 
Hiyo namba inasoma ni ya Malanyingi Matukuta message inakwenda kwa Bashe....

Je huyo Malanyingi ndio Bashe?? Na je 0762 047686 ni namba ya Bashe???
Kama Malanyingi sio Bashe na hii sio namba ya Bashe....hiyo meseji ilifikaje kwa Matukuta?.?

Isije kuwa ni sanaa tu inaendelea kunogesha mpambano ndani chama lao!!!!

Je ni screen munch? inaoneka ni group discussion
 
Junior matukuta n mkt wa uvccm wilaya ya mbea mjini
Ananenepa na kuvimba kwa pesa za udalali

Anahaaaa kila kukicha eti edo aende ikulu yeye na mtu anaitwa nkya

Wanaiharibia.sana CCM
 
Mkimaliza kuziba ufa mje cdm tuwapige chini
 
Ngoja apitishwe na Chama chakavu halafu uje utuambie haya unayosema leo kama si kula mitapishi yako.

lowasa atatapatapa sana lakini
urais atausikia tu! ni mwizi ambaye hata intelijensia ya Nyerere ilimbaini!!!
 
Yani mbunge wa mbeya (v) ndo awe mwenyekiti?? EL kweli umeishiwa,huyo ni kilaza.
 
Wamwandalia akutane na Mwenyeviti Chama nchi nzima kuanzia na Mbeya!

Huyo matukuta anamharibia mzee, ila EL ni mtu makini hawezi kuendelea kumtumia tena mbuvyati lije him. Bashe shituka unafanya kazi na mawatu majinga kama huyo matukuta? Ukitaka kuamini ebu mgoogle uone performance yake
 

Attachments

  • Screenshot_2014-02-05-12-28-08.png
    Screenshot_2014-02-05-12-28-08.png
    112.9 KB · Views: 145
Napenda kujua kikao hicho kilifanyika wapi, ukumbi gani?? Tarehe ngapi! Nataka kumsaidia mzee Mangula hawa wasomali wasije kutuharibia nchi yetu.
 

Mkuu basi ukweli uko wazi..haka kajamaa kanajiita Matukuta huwa ni mtu wa kupenda kick sana na ni bingwa wa kujipendekeza na kujifanya yuko karibu na watu flani.Niliwahi kuwanaye huko FB kipindi hicho akiandika status tu anaweka picha kavaa kijani yao na kukopi viongozi na wabunge wa chama chao so naamini ni yeye ndo kaileta humu kwa akaunti mpya ambayo hii ni post yake ya kwanza ili aanze kujipendekeza kwa EL.Mchumia tumbo huyu anajitanabaisha kuwa na yeye i sehemu ya ufedhuli wanayoita matumaini

Sijawahi kuwa na ID 2 hapa JF na ndo maana natumia jina langu Kamili.
Sina mpango wa kujipendekeza na ndo msimamo wang Daima.
Pia sijawahi kumchafua mtu zaidi ya ushawishi wa EL katika kuleta Maendelea hapa TZ na Imani yangu kubwa kwake.
Narudia tena kwenye Social Media zaidia ya Mazungumzo na ukiona huyu mtu ni mnafiki angeleta Mtiririrko mzima wa page hiyo na kuona kwa mapana zaidi namfahamu ni MBWA MWITU ALIYEJIVIKA NGOZI YA KONDOO KATIKATI YA KONDOO HALISI akizania atakula Nyasi........ALUTA CONTINUA!
 
Tujiulize kwa nini Lowassa kila siku tena ndani ya chana chetu CCM??
Hao wanao mchafua kwa kumsema ovyo na kashfa wana lengo gani ndani au kimejificha nini kwenye Chama?
Najua fika ndani ya CCM Kuna MBWA MWITU wanaotaka kujifanya Kondoo ndani yake.

Tumuache Mzee Lowassa kama atakuja kuhukumiwa na Vikao halali au wananchi kwa ujumla wake kuliko Vibaraka wachache na washirika wa CCJ!
 
Back
Top Bottom