Siri za kambi EL zafichuka

Siri za kambi EL zafichuka

Huu ni upuuzi wala haina maana kuchangia
Kwanza ni group halafu huyo hakuna mtu makin atakayepanga mkakati huo kwenye group ukizingatia na privacy ya group ilivyo naungana na mtu aliyechangia kuwa huyo anaejiita mataka anatafuta sifa tu
Nilitegemea pingine hata akanushe
Narudia huu ni upuuzi na sioni kama kwa critical thinker ni issue ya kujadili
 
Rais gani aliwahi kuingia madarakani kwenye nchi za Africa kwa kutumia pesa zake? Ni either pesa chafu ama pesa za wahisani amabazo mwisho wa siku zinaongeza madeni kwa taifa

Unauhakika na unayoyasema? Lete data, acha longo longo na siasa chafu.
 
"Mtanzania wa leo hawezi kuwanunua Watanzania kabla ya yeye kwanza kununuliwa. , kama hakununuliwa kazipata wapi?, kama amezikopa atazirudishaje?. Ukimuona mtu anakimbilia Ikulu na vipesapesa hivi anatumia huyo ni wa kumuogopa kama ukoma"- J.K NYERERE
 
Huu ni upuuzi wala haina maana kuchangia
Kwanza ni group halafu huyo hakuna mtu makin atakayepanga mkakati huo kwenye group ukizingatia na privacy ya group ilivyo naungana na mtu aliyechangia kuwa huyo anaejiita mataka anatafuta sifa tu
Nilitegemea pingine hata akanushe
Narudia huu ni upuuzi na sioni kama kwa critical thinker ni issue ya kujadili

Ukanushaji wangu ni neno Siri na sitaki kujadili kwa undani kabsa issue hiyo ila huyo aliyeitafuta na kuileta hapa ndo anatakiwa kuwaambia kiundani zaidi kuliko kuweka Attachment na Kusema Siri za Kambi ya EL zafichuka. Sasa kama ni kweli Siri iko wapi hapo??

Tunatakiwa sana watanzania tubadilike na tulidadavue kiundani hasa neno SIRI kwa sisi wana siasa wadogo au watanzania wasiolifahamu.

Kama ningetafuta Umaarufu basi ningeiweka mimi hyo thread ili nionekane najua vitu vingi.

Siwezi kukataa kuwa binafsi namkubali Edward Lowassa na mimi ni Mtu wa Mbeya Mjini utawala wangi ni ndani ya Mipaka husika.
Sasa hiyo inaonesha ni Mbeya Vijijini.
Mtu kama msomi umeilewa vema hiyo huna haja ya kuhoji na kukanusha zaidi ya michezo tu!
 
Msihofu! Ni majimbo mangapi ambayo ccm ilisimamisha wagombea tukawapiga chini? Sasa sikilizia mziki wa 2015 pale ccm itakapo msimamisha mbwiga wao EL uone sisi wenye hati miliki za kura tutakavyoifanya ccm!!! Itajuta milele!! Wakumbuke mwaka 2010 kwenye majimbo waliyojifanya wanajuwa sana! Waliisoma kwa mbele!!!
 
"Mtanzania wa leo hawezi kuwanunua Watanzania kabla ya yeye kwanza kununuliwa. , kama hakununuliwa kazipata wapi?, kama amezikopa atazirudishaje?. Ukimuona mtu anakimbilia Ikulu na vipesapesa hivi anatumia huyo ni wa kumuogopa kama ukoma"- J.K NYERERE

Pamoja na utajiri wake lakini Lowassa hana mapesa ya kutawanya kwa mamilioni kihivyo bali hizo pesa ni msaada toka kwa rafiki yake mkubwa Rostam wakiwa wamelenga kutanua biashara zao binafsi pindi endapo watashika madaraka huko mbele ya safari, Bashe kisiasa ni mganga njaa na ni mwajiriwa wa Rostam rafiki yake Lowassa hivyo ni lazima atumike chini chini kumpamba Lowassa na hata ukifuatilia kwa ukaribu wapambe wote wa Bashe nao hutembea barabarani wakiweweseka weweseka..."Lowassa ndie rais ajaye"
 
Kwa hiyo ndiyo kusema EL kanunuliwa na Rostam?
 
Ni kweli yawezekana wote ni wachafu lakini kuna uafadhali hata taka zina makundi
  1. Taka hatarishi
  2. Taka ngumu
  3. Taka majimaji
EL ni taka hatarishi
 
Mpaka huu mwaka uishe tutayaona mengi sana.
 
Hizi presha zinaweza kuitia meli pancha ikazama maji kina...yangu macho
 
Huyu mzee amedhamilia kweli kweli kuiangamiza ccm maana anajua wazi haw :A S cry::A S cy:mpitisha kugombea urais. Hivyo anatengeneza mazingira ya ku infofce wamchague vinginevyo anamwaga mboga na ugali
 
Hofu yangu tu ni WaTZ kukosea wakamchagua mtu ambaye ni mgonjwa wa Parkinson Syndrome.Akiwa rais tutakuwa tumevunja rekodi duniani kwa kumtoa mtu ICU na kumwingiza Ikulu kwa Machela
 
Kampeni itabidi kuhutubia kwa wheelchair kwani uwezo wake wa kusimama zaidi ya dakika 15 hana inabidi akajidunge dozi ya Whisk ndo apate nguvu ya kurudi jukwaani. Ina maana hatuna watu wenye afya tunamwazia mgonjwa kuwa rais?
 
ukiangalia vizuri sms ilitoka kwa huyo matukuta inaenda kwa bashe broo vip we mgeni na smartphones??

Je ni screen munch? inaoneka ni group discussion

Kaka wengine wetu tumesoma shule za kata enzi za mwalimu, tulifundishwa kuhoji kila inapowezekana...

Wewe simu yako huwa inadisplay jina lako na namba yako??? Labda ya kwangu kimeo....

Ila pia ukichunguza uzuri inaonekana ni group chat maana pale chini kuna "Uv Seif Mkiti tabora".... Ni wazi hiyo meseji haikutoka kwenye simu ya Matukuta au huyo Seif....
Kama huu ujumbe ni wa kweli basi Bashe atamjua kidudu mtu ni nani!!

Mwisho wa siku sijali sana maana sijawahi kupigia kura mtu wa CCM!!
kajima na kidanha nadhani hamkujipa muda kusoma post zilizofuatia....

Nasubiri Smartphones zipungue bei kufikia 10,000 ndo ntanunua for now sio tu kwamba ni mgeni bali hata safari sijaanza.....
 
Last edited by a moderator:
by CHAMVIGA;
Hizi mbio za urais zitawatoa roho bure hawa mafisadi.

Ni ww mkuu au account yako imevamiwa na watu wengi?
 
Back
Top Bottom