Siri za kambi EL zafichuka

Siri za kambi EL zafichuka

Ni Kweli Mkuu MSALANI katika Hili la Lowasa tuko Pamoja Huyu Jamaa ana Mvuto wa Kipekee na Sauti ya Kimamlaka. We Friends all Lowasa haturudi Nyuma

Kweli kabisa mkuu Albedo suala nyeti kama hili halihitaji itikadi za kisiasa. Lowassa ni nguzo muhimu sana kwa sasa katika nyanja ya maendeleo Tanzania, TUTASHINDA PAMOJA!
 
Last edited by a moderator:
Ni Kweli Mkuu MSALANI katika Hili la Lowasa tuko Pamoja Huyu Jamaa ana Mvuto wa Kipekee na Sauti ya Kimamlaka. We Friends all Lowasa haturudi Nyuma

Oyooooooo Team Lowasa Songa.....
 
Last edited by a moderator:
Lowasa songa mbele wao si wameamua kukutangazia nia bwana. Tuko nyuma yakooo mkombozi wa mtz. Uje umalizie miradi yako uliyoiacha ukiwa PM
 
Lowasa songa mbele wao si wameamua kukutangazia nia bwana. Tuko nyuma yakooo mkombozi wa mtz. Uje umalizie miradi yako uliyoiacha ukiwa PM

We need Lowasa. Nani kama Lowasa?
 
Lowassa lazima awe kiongozi wa juu wa nchi hii.suala la eti kaanza kujitangaza mapema ni mbinu ya kumnyima nafasi ya kuwa rais.hata kikwete alipokosa uraisi mwaka 1995 alianza kupanga mikakati kwa ajili ya 2005.na kama si lowassa kikwete angeishia kuwa waziri tu.sasa kikwete tafadhali kama unaisoma hii post ebu lipa fadhila.achana na mizee kama malechela au kingunge.mangula nae vilevile achana nae.mpe sapoti swaiba wako awe rais kama wewe.atakulinda tu usihofu.tz hatuna utamaduni wa kuchokoana madhambi yetu.huyu malechela natamani nyerere angefufuka tukamwambia kuwa jamaa yako eti nae anamnyoshea kidole lowassa.kwa usafi gani alionao?
 
Sijawahi kuwa na ID 2 hapa JF na ndo maana natumia jina langu Kamili.
Sina mpango wa kujipendekeza na ndo msimamo wang Daima.
Pia sijawahi kumchafua mtu zaidi ya ushawishi wa EL katika kuleta Maendelea hapa TZ na Imani yangu kubwa kwake.
Narudia tena kwenye Social Media zaidia ya Mazungumzo na ukiona huyu mtu ni mnafiki angeleta Mtiririrko mzima wa page hiyo na kuona kwa mapana zaidi namfahamu ni MBWA MWITU ALIYEJIVIKA NGOZI YA KONDOO KATIKATI YA KONDOO HALISI akizania atakula Nyasi........ALUTA CONTINUA!
Wewe matukuta tapeli mkubwa, ulikuwa unamuandikia Bashe ujumbe ili akutumie ya vocha? Ndio maana ulifeli shule. Naanza kupata hofu kuwa huenda EL hawezi kufika mbali iwapo ataendekeza mikakati hii ya kuwatumia wachumia matumbo kama Matukuta. Foolish guy
 
wamefulia hawa, watafanya sana vikao lakini hawatafanikiwa
Kama walifanikiwa kumuingiza JK kwa staili hiyo itashindikana vipi kwa EL wakati wana ujuzi na rasilimali zaidi ya ilivyokuwa 2005?
 
Tanzania ya ajabu kweli,eti hata VIBAKA wanapendekezwa kuwa marais wa nchi!

Hii nchi sijui imelaaniwa!
 
Kama walifanikiwa kumuingiza JK kwa staili hiyo itashindikana vipi kwa EL wakati wana ujuzi na rasilimali zaidi ya ilivyokuwa 2005?

Kula CCM ,kura CHADEMA

Huo ndio msemo wa bodaboda wote wa Tanzania!

LETENI TUZILE HIZO PESA MLIZOIBIA NCHI YETU!
 
Back
Top Bottom