Kwa hiyo? Kwani unafikiri kati ya chadema na hivyo vyama vingine vinavyounda UKAWA nani anambeba mwenzie. CUF, NLD na NCCR vyote vinatembelea upepo wa chadema....
Jamani ndo maana Rais LOWASA anasisitizia ELIMU ELIMU ELIMU. Ivi nyie ccm hata kudanganya hamjui mje tuwafundishe kama hata uandikaji barua ndo huu khaa...hujui mwanzo wala mwisho wa barua kazi mnayo...
Kuna tatizo gani na hilo ? Je. wewe familia yako inafahamu kila jambo unalofanya. Kuna kitu kinaitwa utengano sambamba hilo liko wazi, sio lazima rafiki yako afahamu siri zako zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.