Siri za CHADEMA zafichuka kuhusu UKAWA

Siri za CHADEMA zafichuka kuhusu UKAWA

CDM wamejaribu kuua vyama vingine lakini na wao washakwisha na kigaguro wao ..kipigo chao kiko palepale.
 
Nimeshaandika na nimechoka, kwa sasa nasubiri ni kuandika historia. Nitatimiza wajibu wangu wa kuukataa ukoloni mamboleo wa kijani, unaozidi kulididimiza taifa kila kukicha.
 
Ukiona Gwajima amekaa kimya ujue dili limeshaoza maana yule ndiye mbeba maono ya UKAWA. Ngoja nikanyoshe suti yangu ya sherehe ya kumwapisha Magufuli.
 
Haha haaaaaaaa CCM mnajitekenya mnajichekesha wenyewe, mbona hii mbinu mlishatumia ikafeli?
 
Ndio sababu tunasema UKAWA ni wahuni KABISA.bodaboda wameshapewa migao ya kulinda kura na kupeperusha bendera.NIPASHE waone TAARIFA hii
NIPASHE hawana muda mchafu wa kuokoteleza vihabari vya mitaroni pelekeni Jamba Leo.
 
Mabadiliko Lowassa
Lowassa Mabadiliko
Ccm Imechoka Tuitoe By Magufuli.
12115712_451328841735342_9027924494541944449_n.jpg
 
Duuh! Nilikuwa nashangaa pale Kimara Mwisho Bodaboda wanaorodheshwa majina kumbe ndio mkakati? Imekula kwao.
 
mmmh hiyo treni unayoizungumzia kubeba mzigo wako imeondoka tangu jana na na sio rahisi ilikofika huwezi kuifikia hata ukitangulia mbele kwa gari
 
Badilisheni hapo kwenye wakilisha wekeni wasilisha......
Any way this is another rubbish from IT masaki

Hata kichaa kama wewe ukiambiwa hujavaa nguo bado utabisha na kusema anayekuambia hujavaa nguo yeye ndiyo yuko uchi, kwa hili sikushangai.

Jumanne ndiyo utajua kama ni IT MASAKI AU LA, AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKWAKO JAPO NAYO NI NDOGO KAMA YA MAFISADI WALIOKIMBILIA KWENU
 
Ukiona Gwajima amekaa kimya ujue dili limeshaoza maana yule ndiye mbeba maono ya UKAWA. Ngoja nikanyoshe suti yangu ya sherehe ya kumwapisha Magufuli.

Bwana ee tafadhalli usiniache nisubiri pia tukasaini pia kitabu cha maombolezo pale UKAWA maana sasa ni imekuwa UKIWA TENA MTUPU KUSHINDWA SI MCHEZO MAANA PAMOJA NA AKAUNTI ZOTE ZA RICHMOND BADO MTU KAPIGWA DOBO.
 
CHADEMA Yaani mpaka kufika oktoba 25 watabaki watu wachache sana maana watu wanakimbia kila siku ,kwakuwa wamekumbatia rusha kwa sasa...

Chadema kuna rushwa zaidi ya ccm???duh! Mnajitoa ufahamu mungu atawachoma kwa moto mkali umesahau kura za maoni mlivyokuwa mnasemana mnavyozidia kutoa rushwa mbona escrow amuizungumzii au hiyo sio rushwa jamani watu tuna maisha magumu msitutanie 🙄
 
Salim Mwalimu

Hao wachagga hawana kheri, watakutumia kama walivyomtumia Zitto, Slaa na wengineo kisha kukutupa na kukuita msaliti.

Kumbuka hilo.
ungezungumzia udini lakini kwa kuwa umemtaja slaa hakuna namna uje kwenye ukabila
 
Ulietengeneza umesahau haitwi "SALIM Mwalimu"...

Anaitwa "SALUM Mwalimu"
 
Back
Top Bottom