salimu tevez
Member
- Aug 14, 2015
- 46
- 5
ccm jamani lakuvunda halina ubani namba hazikosei mwisho wa ccm umefika
Chaggadema ni Vibaka orijino
Naona kitengo cha IT masaki kazi yake siku hizi ni kughushi maandishiSalim Mwalimu
Hao wachagga hawana kheri, watakutumia kama walivyomtumia Zitto, Slaa na wengineo kisha kukutupa na kukuita msaliti.
Kumbuka hilo.
Acha wongo.unajifanya mjuaji lakini bureNaona kitengo cha IT masaki kazi yake siku hizi ni kughushi maandishi
Rais ni lowassa,propoganda zenu hazina mashiko.
Leo manzese wajumbe wenu wanapita kutangaza sh2000 kwa atakàyehudhuria mkutano wa magufuli
Kweli hawa jamaa wameishiwa pumzi. Naendelea kumuamini Mzee Kingunge.Badilisheni hapo kwenye wakilisha wekeni wasilisha......
Any way this is another rubbish from IT masaki
Mkuu Wacha1, kumbe wewe gamba! Salama lakini?
BONGOLALA nnaona sasa si bongo tu, hata mwili wako umelala kama babu teja!Naona kitengo cha IT masaki kazi yake siku hizi ni kughushi maandishi
Rais ni lowassa,propoganda zenu hazina mashiko.
Leo manzese wajumbe wenu wanapita kutangaza sh2000 kwa atakàyehudhuria mkutano wa magufuli