Siri za CHADEMA zafichuka kuhusu UKAWA

Siri za CHADEMA zafichuka kuhusu UKAWA

Imeandaliwa kuwa Tarehe 24 kuamkia 25 mwezi huu chombo kimoja cha habari chenye maskani yake huko Kanda ya ziwa kitatangaza kuwa Lowassa Amejitoa kwenye kugombea, habari hiyo itaambatana na kusambazwa kwa habari kama hiyo hiyo kwenye mitandao ya kijamii kama Jamii forums, facebook, na whatsupp na Twitter, Tayari mmiliki huyo amekubali kuwajibishwa na TCRA kwa kutoa habari hiyo ya upotoshaji kwa umma, kifupi amekubali kubeba "Risk" ili kukibeba chama chake na mgombea wake.

kadharika, mpango mwingine ambao hauna nguvu ila umeanza kusambazwa katka mitandao ya kijamii, ni "waraka" feki unaodaiwa kuandikwa na chadema kwenda kwa makatibu wa cha wilayani eti..."Wasitoe siri kwa wenzao wa Ukawa"
 
Huyo mmiliki ni nyoka mtu na majibu yake atayapata muda si mrefu
 
Hiyo risk asidhani ni kwa TCRA tu ajue ameiweka familia na ukoo wake majaribuni...asijejuta kuamka akiwa hana familia
 
Too late pigeni campeni mtushawishi tuchague ccm hiki kizazi sio cha kubadilishwa na issue za kiseeengeerema kama hizi tunataka nondo zenye akili kutuhamisha ila mpaka sasa kura yangu ukawa. Diwani tu ndo ntampigia wa ccm coz kazi anafanya
 
[h=3]
12115869_523468917817602_1870156497037115031_n.jpg
[/h]
11226554_523469044484256_2915631965749246479_n.jpg

Chacha hiyo ni siri gani, hizi peremende zinawaumbua sasa huwezi kumuamini muuza malaya Bilicanas akuchagulie rais ni uendawazimu.

usanii wa ukawa unaisha baada ya uchaguzi

Dah CHADEMA ni wanjanja sana hichi so chama ni genge la walanguzi

CHADEMA Yaani mpaka kufika oktoba 25 watabaki watu wachache sana maana watu wanakimbia kila siku ,kwakuwa wamekumbatia rusha kwa sasa...

Delete chadema

Ndio sababu tunasema UKAWA ni wahuni KABISA.bodaboda wameshapewa migao ya kulinda kura na kupeperusha bendera.NIPASHE waone TAARIFA hii

Red brigade wanazidi kwenda ccm.siri zote nje nje.kulinda kura kuna posho.ndio sababu mchecheto mkubwa

Propaganda mfu toka kwa Wafu, rai yangu muanze kutulia tuli mjifie bila kelele! Kama Kinana anafahamu na ameidhinisha propaganda kama hiyo, basi sasa naamini Ccm wote ni Vilaza wasiofaa kuendelea kuiongoza hii nchi.

Taarifa juu ya maandalizi ya huu upuuzi wenu na mwingine mnaoendelea kuuandaa tuna taarifa mapema sana kabla,sasa bahati mbaya mnaendelea kufeli katika hilo.
 
Too late pigeni campeni mtushawishi tuchague ccm hiki kizazi sio cha kubadilishwa na issue za kiseeengeerema kama hizi tunataka nondo zenye akili kutuhamisha ila mpaka sasa kura yangu ukawa. Diwani tu ndo ntampigia wa ccm coz kazi anafanya

O
Jana bbc lowassa kashindwa kujibu kuhusu ufisadi, hafai hawezi
 
Tutachaguage kiongozi ambaye alishakula ela zetu na Dr slaa aliweka kila kitu wazi but wabongo wengi wanakuambia wanaitaji changes what type of changes mnazo itaji ona sasa wanavyo anza kujichanganya wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom