Siri yako usimwambie mlaji.

Siri yako usimwambie mlaji.

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
6,386
Reaction score
7,562
ImageUploadedByJamiiForums1393560768.261958.jpg
 
aaaaaaghh mbona hapo sawa tu? ngoma hua inaaanzia kwenye kutengeneza unga, kusukuma unga!!!
 
Hebu tuwekee na wakati wanapokanda unga tafadhali...
 
Kaka nina mwaka wa kumi sasa sijawahi kula mkate, mpaka mke wangu na watu wengine wananishangaa. Siri ninayo moyoni

Naomba usinianbie hiyo siri maana mimi asubuhi breakfast bila mkate ni tatizo tena na mke wangu nae ni mteja wa hii kitu.
 
Back
Top Bottom